Ule utafiti unawahusu na wanasiasa pia?

Ule utafiti unawahusu na wanasiasa pia?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,925
Reaction score
51,010
Ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania watano mmojawapo ni kichaa unawahusu pia na wanasiasa? Wabunge wapo zaidi ya mia tatu, ukigawanya kwa tano unapata makundi zaidi ya sitini ya watu watano watano. Kama utatifiti ule unawahusu watanzania na kwa kuwa na wabunge nao ni watanzania, basi bila shaka bungeni tunao wabunge vichaa zaidi ya sitini, ni kina nani hao?

Kwenye baraza la mawaziri je. kwenye Halmashauri za miji, Manispaa na majiji? Kwenye vyama vya siasa nako hali ikoje? Au ule utafiti unawahusu wauza mkaa na kina mama ntilie na wauza vitumbua peke yao wanasiasa hawahusiki? Nauliza tu?
 
Ni kweli.Hata wewe ukitulia utawajua tu.Hamna haja ya kuwataja....
 
Kwa tafiti hiyo bila shaka chama chenye wabunge wengi basi kina vichaa wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom