Ule msimu umeanza tena....

 
 
Hivi vijana wa kileo wanaweza kufanya hivi au wataishia kuvunjika viungo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
You didn't talk about mob thinking but you are insinuating mob thinking unapotaka kutuaminisha kwamba kuna a specific way wanaume wote tunatakiwa tuwe, unaposema ni misingi ni misingi ya nani au ni mazoea ya jamii yako/rika lako/kabila lako
Unaposema sisi, Sisi kama nani...
Every one has his own way, as I said there is no longer survival of the strongest, it's survival of the smartest and the ones that are quick to adopt to this rapidly changing world
Nyie stick within the mob psychology ya misingi, waache millennials/generation Z to go their own way.
Dunia always imekuwa haipendi individual free thinkers ndo maana wakina Galileo, da Vinci, Socrates walipitia trials nyingi
 
Ok thanks for sharing....!!!
 
Waambie maana wamezidi na mada zao sisizo na maana wala tija, namuona muwakilishi mmoja hapo juu kisha lalama.[emoji23][emoji23] hawapendagi kukosolewa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waambie maana wamezidi na mada zao sisizo na maana wala tija, namuona muwakilishi mmoja hapo juu kisha lalama.[emoji23][emoji23] hawapendagi kukosolewa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…