Ule msimu umeanza tena....

Umeongea vyema mkuu..
 
Ok lakini kila mada ina muktadha wake na target audience yake
 
Brilliant, hatuwez wote kuishi watakavyo kundi flani, millennials we are flipping the cards, we are going our own way, we are breaking taboos, and setting new rules
Karne ya 21,mtu anakwambia mwanaume lege lege hawez kutembea kilomita tano anapanga pikipiki amekosa lishe, bado una mawazo ya survival of the fittest right now its survival of the smartest... If I can afford a car why should I walk, if I need exercise nitajog, Nita gym muda wake..
Mnalazimisha mila na desturi za kiafrika kwenye dunia ya utandawazi
Kuna threads niliona kwamba wanaume wa sikuiz wanalalamika sana, kama kuna tatizo unataka adhulumu nafsi akae kimya... Kuna research ilifanyika ikagundua hii ndo sababu wanaume wanawahi kufa kuliko wanawake kutokana na kuficha hisia na msongo wa mwazo
What Mshana Jr does not realize is that these urban women have been playing on a different set of rules for years(they ve become more manly, thy have manly ambition and attitude) , while the society forces the man to remain the "traditional gentleman"
Men are left defenseless because society is bigger than an individual and will not allow men to defend themselves
Men have finally woken up and adopt to these new rules and to those holding to their old cultural system/doctrines imekuwa tatizo
we are tired of hearing that we should worship the ground a woman walks on and should be glad to do it. We are tired of being told to “Man Up” and sign a marriage contract, even though statistics prove that contract to be more costly to men.Men are tired of coming across women who want to settle down not for love or a sense commitment but for a man to solely provide for her financial security
Muda wa mob thinking umepitwa na wakati, every man should act how he wishes...
Mi personal sioni haja ya kuweka mwanamke mmoja ndani, cause it's not me... Kwanin nijilazimishe nifanane na everybody..
 
Mwingine nilitaka nimzabe mabanzi eti anaongea na mimi huku analamba lamba mi lips yake , huku you know you know zikiwa kibao nikasema toka hapa paka wewe.
Watu hatufanani huyo mlamba lips anaweza akapata financial success kuliko wewe alafu hawa madada zetu wakamuona ye ndo mwanaume..
Sio lazima concept yako ya mwanaume anatakiwa kuwa aje ndio inavyotakiwa kuwa..
 
Watu hatufanani huyo mlamba lips anaweza akapata financial success kuliko wewe alafu hawa madada zetu wakamuona ye ndo mwanaume..
Sio lazima concept yako ya mwanaume anatakiwa kuwa aje ndio inavyotakiwa kuwa..
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144]
Yes kila mtu ameumbwa na hulka na intrest zake what matters ni nini kiko kichwani, and the will to put it in action
Unayemuona mlamba lips, sijui lege lege anaweza akawa anakuzidi kwa mengi sana..na akawa a very responsible man take care of his life, family, parents etc
Tatizo ni hiyo mob thinking mnataka kila mtu aishi mnavyoishi nyie au mnavyodhani ni sawa kuwa
 
primitive thinking.
 
I never talked about mob thinking... But reality.... Na nilichoandika ni misingi si kila mtu lazima afanane na wengine la hasha.... Lakini sisi tulio kwenye interaction kubwa na vijana tunaliona tatizo
Between first impression can lead you to a certain conclusion....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…