Wazungu wamestuka sasa hivi vyakula asili vina bei ghali kuliko vyakula vya kusindikwa viwandaniMkuu Unachosema ni kweli mfano mimi huwa napenda kula nafaka zisizonajisiwa, tetele za maboga + maboga yenyewe, mboga za kijani mbichi mbichi daily siruhusu ziive sana, matunda, kwa ujumla nakula vyakula natural sasa watu wanasemaga eti hivyo ni vyakula vya watu fukara mi huwa nawaangalia kisha nawaonea huruma.
yaani mtu hata akiku- quote saa8 za usiku, utamjibu hata.. Iwe saa11 asubuh utamjibu piah sasa swali langu huwa una lala saa ngapi na kingine huwa unafanya kazi saa ngapi maana sijawahi kukukoswa JF hata dk1...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]kukikaribia kuchwa
Shetani yupo kaziniWanaume hii siri nawapa; zama zimebadilika, Tusioe!
Zamani suala la kuoa lilikuwa miongoni mwa suala la muhimu sana katika maisha ya mwanaume.. pamoja na kwamba mwanaume hufanya mipango na projections za maisha yake lakini hakuna swala lililokuwa zito mbele yake kama Kuoa.. Huo ndio ukweli! zama hizo wanawake waliogopa wanaume na kuwaheshimu...www.jamiiforums.com
Kama una mwanamke wako anayeimba kwaya andika maumivu
Kama una mke au mpenzi anaimba kwanya hizi za kanisani basi andikia maumivu, wale walimu wa zile kwaya bwana wanakula sana wanawake wetu Kuna kwaya moja ya kanisa la sabato huwa wanafanya mazoezi kule Tegeta Yanayofanyika nje ya kwaya ni hatari, so kama una mwanamke anajihusisha sana na mambo...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafanya kazi kama chumaulete zinaingia tu bila kutaabikayaani mtu hata akiku- quote saa8 za usiku, utamjibu hata.. Iwe saa11 asubuh utamjibu piah sasa swali langu huwa una lala saa ngapi na kingine huwa unafanya kazi saa ngapi maana sijawahi kukukoswa JF hata dk1...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo nafikiri ukiwa upo busy toilet kujibu text za member na simu yako mkononi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafanya kazi kama chumaulete zinaingia tu bila kutaabika
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una mwanamke wako anayeimba kwaya andika maumivu
Kama una mke au mpenzi anaimba kwanya hizi za kanisani basi andikia maumivu, wale walimu wa zile kwaya bwana wanakula sana wanawake wetu Kuna kwaya moja ya kanisa la sabato huwa wanafanya mazoezi kule Tegeta Yanayofanyika nje ya kwaya ni hatari, so kama una mwanamke anajihusisha sana na mambo...www.jamiiforums.com