Kuna kilimanjaro pia inaenda ArushaThere is no such thing, nunua kiwanja hicho uje kukaa upepo unakovuma , usisahau siku hizi kun a gari za Tanga "Tashriff " kutoka kigamboni to Tanga na inajaza kila siku
Inapitia daraja la mwl NyerereInapitia wapi boss
Kwa wasioelewa hiyo miradi ya kigamboni satellite city, Pongwe city na arusha usariver safari city ni janja ya kuuza viwanja kwa bei ghali, yale magorofa tuliyooneshwa kwenye ile short film ya kigamboni city yamewachanganya wengi na kushawishiwa kununua viwanja kwa bei ghali kwa tamaa ya kuishi ndani ya huo mradi