BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,547
- 14,209
Wazungu wa Magahalibi ni wajinga sana walijifanya kutukana mammba kabla hawajavuka mto.
Urusi ni moja ya nchi zenye ndege kubwa kabisa za kuzima mioto na kipindi cha nyuma Urusi ilisja saidia sana kuzima mioto Ugiriki, Uturuki, Isralei na nchi zingine za Ulaya Mashairiki.
Watateseka sana this tima na bado Baridi ikianza ndo itabidi waombe po.