Ulaya Wameonja Joto La Jiwe

Ulaya Wameonja Joto La Jiwe

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
wazungu kwa mda mrefu wamekuwa wafadhili wa vikundi vya uasi ktk serikali mbalimbali dunian. mara hii wameonja ladha ya shida waliyokuwa wanawapatia jamii mbalimbali dunian, vita ya syria hakika imewapa darasa. mimi nimefurah sijui wenzangu kwa kuwa wameonja joto la jiwe
 
unawezaje kuamini watu wanaoitwa civilized people kukataa kupokea watu wanaokimbia vita? je mtu wa aina hiyo ni binadamu. kuna tofauti kati ya binadamu na mtu. je mzungu ni binadamu kweli? nimeshangaa sana.
 
Mkuu Syria walitengeneza iwe hivyo... a moment walipotaka kuachana na utegemezi wa Gas ya Russia wakataka kuchukua Gas from Qatar ambapo bomba lingejengwa kupitia Syria ... walitaka kwanza kumng'oa Asad ili deal lao lifanikiwe bila masharti magumu... Russia nae kashtukia Deal akaaza kumsupport Asad huku wakiingia deal lingene ambalo wazungu hawakujua kuwa Putin ana maamuzi magumu kuliko ya kujenga bomba la Gas hadi CHINA!!! Ulaya wakahamaki, wakaanza kufanya kila aina ya Hujuma kwa Syria hadi hapo lengo lao litakapo fanikiwa .. German so far ndo wamekubali kuwachukua wakimbizi wengi zaidi .. lets wait n see ... I wish CCM wangejua game la Dunia hii ..
 
wazungu kwa mda mrefu wamekuwa wafadhili wa vikundi vya uasi ktk serikali mbalimbali dunian. mara hii wameonja ladha ya shida waliyokuwa wanawapatia jamii mbalimbali dunian, vita ya syria hakika imewapa darasa. mimi nimefurah sijui wenzangu kwa kuwa wameonja joto la jiwe

Mkuu, acheni kucheza na hiki kitu "Mungu" unajua hawa wazungu wanazivuruga hizi nchi wakitaka kuweka viongozi wao hebu angalia Libya, Iraq, Afghanistan na sasa wanajaribu Syria,bila kujua viongozi wale wamewekwa na Mungu wanaouwezo wa kutuliza nchi zile, leo wamezivuruga nisawa nakubomoa shimo la siafu, nini kitatokea.... lazima watasambaa kutafuta hifadhi, walikuwa wanaishi vizuri kwenye nchi zao,, wanakula, wana lala, sasa kinachotokea wanataka kuhamia Ulaya, mimi imenifurahisha sana manake haya mataifa makubwa hususani Marekani washenzi sana...angali sasa wana taka sisi wote tuwe ma-ANTI.....shenji yao mafuta yenyewe wanayoyatamani yanachimbika sasa?, na bado, Mungu mkubwa, leo wakimbizi wanakimbilia Ulaya.
 
mkuu deal hili imekula kwao kwa sababu putin amewaumiza zaid kwa kuwa anamsaidia Asad na watu wamefurikia ulaya uchumi wa ulaya lazima utayumba bila shaka putin analipiza kisasi
 
Mkuu, acheni kucheza na hiki kitu "Mungu" unajua hawa wazungu wanazivuruga hizi nchi wakitaka kuweka viongozi wao hebu angalia Libya, Iraq, Afghanistan na sasa wanajaribu Syria,bila kujua viongozi wale wamewekwa na Mungu wanaouwezo wa kutuliza nchi zile, leo wamezivuruga nisawa nakubomoa shimo la siafu, nini kitatokea.... lazima watasambaa kutafuta hifadhi, walikuwa wanaishi vizuri kwenye nchi zao,, wanakula, wana lala, sasa kinachotokea wanataka kuhamia Ulaya, mimi imenifurahisha sana manake haya mataifa makubwa hususani Marekani washenzi sana...angali sasa wana taka sisi wote tuwe ma-ANTI.....shenji yao mafuta yenyewe wanayoyatamani yanachimbika sasa?, na bado, Mungu mkubwa, leo wakimbizi wanakimbilia Ulaya.

cha kushangaza mkuu nchi zingine wanakataa kama norway ajabu sana wakat africa hasa tz tumewahudumia wakimbiz mpaka tumewapa uraia na sis ni taifa maskini sana dunian wao wameogopa nin wakati wameendelea? movie hii tamu sana wamejikaanga kwa mafuta yao wenyw
 
Mbona hiyo idadi ni ndogo sana kulingana tunaowapokea hapa Tz tena bila masharti.
 
wazungu kwa mda mrefu wamekuwa wafadhili wa vikundi vya uasi ktk serikali mbalimbali dunian. mara hii wameonja ladha ya shida waliyokuwa wanawapatia jamii mbalimbali dunian, vita ya syria hakika imewapa darasa. mimi nimefurah sijui wenzangu kwa kuwa wameonja joto la jiwe

Tatizo kubwa ni binaadamu wanakufa wengi na wengine kuwa walemavu na wengi wao wamebakia kuwa ni wakimbizi huku wakinyanyaswa.Kiongozi mzuri ni yule anawacha uongozi kwa kuepusha madhara na vile vile nchi zingine ziheshimu uchaguzi wa wananchi sio kuingilia kati na kusababisha Damu kumwagika.Inawezekana ikawa vita hii inawahusu Warusi na Bara la ulaya akiwepo na muamerika ila vita hiyo inafanyika katika ardhi hiyo na wanaokufa ni Raia wasio na hatia.But Time will tell
 
Mungu atabakia kuwa Mungu.... Walidhani wakivuruga basi shida itakuwa ya watu wa hizo sehemu.... Kama biashara ya utumwa ilivyogeuka kuwa mzigo ndibyo itakavyokuwa kwa hizi fujo walizoziunda wakidhani watafaidi.

Mimi naona watu kwenye nchi zote wazidi kukimbilia huko mpaka wakubali kuiendeleza dunia bila ubaguzi
 
Kwa mwendo huu Marekani atakosa uungwaji mkono kwenye fujo zake anazofanya humu duniani.

Fujo za ulaya zimekuwa somo kwa nchi nyingi.

Marekani aende peke yake tu.
 
Kama ni hivyo..basi kwa nini wagombanie kwenye mgongo wa mwenzio ?? na kumwaga damu ya wasiyo na hatia (wanyonge) !!!!!!!
 
Hao wasyria walitakiwa waende Saudis,Iran,Kuwait Na Dubai.huko ndio kwa kuwa wana utamaduni sawa
Ulaya watapata shida
 
Waarabu wanaenda ULAYA ili kuwasilimisha,kama ni ukimbizi tu kwa nini wasiende kwenye nchi takatifu ya saudia na nyingine za waarabu wenzao?????hawa jamaa wana lao jambo,maaana waarabu wanawasema vibaya wazungu leo hii wamewaona wa maana???wanataka tu kwenda kuwasilimisha wazungu huu ni MPANGO MKAKATI waislamu.
 
Yaan hiyo ni sawa na kujanyaga tope litakurukia mwenyewe. Na sio kutoka Syria tu Bali ni kwa nchi nyingi maskini ambazo wazungu wenyewe wamezinyonya na sasa kimbilio ni huko huko Ulaya. Wakimbizi toka Ethiopia, Nigeria, Eritrea, Chad, Yemen, nk wote wanaelekea Ulaya Nami nasema waende tu huko maana wamesababisha wenyewe
 
Hivi sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu idadi ya kupokea wakimbizi??
 
Yaan hiyo ni sawa na kujanyaga tope litakurukia mwenyewe. Na sio kutoka Syria tu Bali ni kwa nchi nyingi maskini ambazo wazungu wenyewe wamezinyonya na sasa kimbilio ni huko huko Ulaya. Wakimbizi toka Ethiopia, Nigeria, Eritrea, Chad, Yemen, nk wote wanaelekea Ulaya Nami nasema waende tu huko maana wamesababisha wenyewe
 
Mbona hiyo idadi ni ndogo sana kulingana tunaowapokea hapa Tz tena bila masharti.

Kweli kabisa, ulaya nzima wanatolewa kamasi na wakimbizi 120,000 tu wakati TZ sasa hivi ina wakimbizi zaidi ya 90,000 wa Burundi na hailalamiki na wala haijafunga mipaka.
 
Back
Top Bottom