Ulaya & USA Ifanye toba dhidi ya corona

Ulaya & USA Ifanye toba dhidi ya corona

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Nchi zilizoathirika ni nyingi sana ikiwa pamoja na AFRICA lakini ulaya iko juu zaidi kwa idadi ya vifo na wagonjwa.

Wajiulize juu ya matendo yao dhidi ya nchi za dunia ya tatu.

Inawezekana mungu anawaonjesha machungu ya kufiwa na wapendwa wao hili waache kusababisha vita, kunyonya inchi maskini, kupandikiza magonjwa kwa makusudi na kupandikiza migogoro kwa nchi za dunia ya tatu(third world country).

Kuanzia DRC, SOMALIA, BURUNDI RWANDA, LIBYA AFRICA YA KATI na nyingine nyingi athari za vita zilizotoka na wao ni kubwa.

Ingawa sijui Africa itafanikiwa kwa kiasi gani kwenywe vita hii lakin sisikitiki na wala sitasikitika kutokana na maelfu ya vifo vitakavyotokea kwenye (developed countries)

Kwa kifupi nasikia kama mungu anatulipia kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajiulize juu ya matendo yao dhidi ya inchi za dunia ya tatu.

Inawezekana mungu anawaonjesha machungu ya kufiwa na wapendwa wao hili waache kusababisha vita,kunyonya inchi maskini,kupandikiza magonjwa kwa maksudi na kupandikiza migogoro kwa nchi za dunia ya tatu(third world country).

Kuanzia DRC,SOMALIA, BURUNDI RWANDA, LIBYA AFRICA YA KATI na nyingine nyingi athari za vita zilizotoka na wao ni kubwa.

Ingawa sijui Africa itafanikiwa kwa kiasi gani kwenywe vita hii lakin sisikitiki na wala sitasikitika kutokana na maelfu ya vifo vitakavyotokea kwenye (developed countries)

Kwa kifupi nasikia kama mungu anatulipia kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Magonjwa yalishalipuka Mengi tuu duniani na yakapita. Tb, Ndui, ukoma, Mafua ya Ndege, tauni, homa ya rift valley na Mengineyo. Muache kuhusisha milipuko ya Magonjwa na adhabu. Ni timing tuu. Wakipata dawa Corona itaondoka.
 
Syria0-0 corona
Yemen00
Irag very few
Wao wameshaishi kwa khofu ya kuogop kufa na kufiliwa na wapendwa wao, khofu ya kuigopa nchi ya na kukosa pa kwenda, khofu ya kukataliwa nchi za watu kama wakimbizi, khofu za kutoijua kesho yao, khofu zote zinazokosesha kuishi kwa raha na furaha. Nadhani saivi dunia tunaweza ku experience maisha ya syria na kwengineko ambako maisha ya khofu yametawala.
 
Toba gani? Ulaya ndio walioleta dini leo muwafundishe namna ya kuitekeleza wakati waliitunga wao? Yaani utunge wewe kitabu halafu msomaji akufundishe namna ya kusoma?

Afrika haina cha kuwafundisha wazungu maana dini waliitunga na kuianzisha wao.
 
Tugawane machungu hakuna namna.

Sikuzungumzia toba kwa maana ya dini ,toba kwa maovu wanayowafanyia wenzao hasa nchi maskini
Toba gani? Ulaya ndio walioleta dini leo muwafundishe namna ya kuitekeleza wakati waliitunga wao? Yaani utunge wewe kitabu halafu msomaji akufundishe namna ya kusoma?

Afrika haina cha kuwafundisha wazungu maana dini waliitunga na kuianzisha wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizoathirika ni nyingi sana ikiwa pamoja na AFRICA lakini ulaya iko juu zaidi kwa idadi ya vifo na wagonjwa.

Wajiulize juu ya matendo yao dhidi ya nchi za dunia ya tatu.

Inawezekana mungu anawaonjesha machungu ya kufiwa na wapendwa wao hili waache kusababisha vita, kunyonya inchi maskini, kupandikiza magonjwa kwa makusudi na kupandikiza migogoro kwa nchi za dunia ya tatu(third world country).

Kuanzia DRC, SOMALIA, BURUNDI RWANDA, LIBYA AFRICA YA KATI na nyingine nyingi athari za vita zilizotoka na wao ni kubwa.

Ingawa sijui Africa itafanikiwa kwa kiasi gani kwenywe vita hii lakin sisikitiki na wala sitasikitika kutokana na maelfu ya vifo vitakavyotokea kwenye (developed countries)

Kwa kifupi nasikia kama mungu anatulipia kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipingane nawe vita ya wenyewe waafrika inatokana na waafrika wenywe kupenda madaraka kuliko nchi, mfano ni ccm iko tayari ilete vita ilimradi tu iendelee kutawala
 
Back
Top Bottom