Kabisa au basi kama issue ni kuchafua gari na shombo la mbuzi kwenye gari wangenunua hata jaba kubwa wakamuwekea na majani halafu wakamuweka hapo nyuma vioo hawafungi...
Wamezingua sana, hebu ona sasa gari ilivyoanikwa mitandaoni, mpaka kufikia kesho watu watakua washajua ni gari anayotumia nani then anaanikwa, mbaya zaidi unakuta nimtu ambaye watu wanamchukulia kuwa ni mcha Mungu Sana.