Ulaya ni ulaya tu jamani

Ulaya ni ulaya tu jamani

Huo ni uongo ni kichaa tuu kaokota laptop mbovu mtaani anaisha ngaa shangaa tuu na hata anvyo ibeba havihusiana ujinga wako pelekea chekechea wenzio sio humu
Na ukiangalia kwa makini photo shop tuu hiyo
Mkuu kwa hiyo ni uongo,au kichaa au laptop mbovu au anashangaa au ujinga wangu au chekechea au photoshop?
 
Akibahatika kuja BONGO anaitwa MTALII huyo....

Utaona wale Dada zetu kama akina Mange wanajilengesha wenyewe wakidhani akiwapeleka Ulaya (kwao) watakuwa ndio wameaga UMASIKINI....

Kumbe Msela ana MATATIZO kibao...
 
Unautani wa ngumi ...ngoja waje wazee wa maboksi
 
Nchi zilizoendelea laptop ama smartphone second hand huwa bei chee sana,hyo laptop uskute nayo pia kaokota.
 
Back
Top Bottom