YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Kuna mbinu nyingi wanazotumia magaidi kujisafirisha kwenda ulaya na marekani.Njia mojawapo ni kuanzisha vurugu na sintofahamu kwenye nchi zao ili kutokee vuruguWakianza kubamizwa na vyombo vya dola nchini kwao hutoroka na kukimbilia mataifa ya ulaya na marekani kama wakimbizi wakijifanya wanaonewa kwenye mataifa yao lakini wenye ajenda za kigaidi
Zanzibar kulishawahi tokea machafuko wengine wakatimukia Tanzania bara,wengine somalia,uingereza nk
Sasa hivi CUF zanzibar inafanya choko choko kwa Maalim Seif kujitangaza huko na huko kuwa atamng`oa shein nk Lengo lake ni kutaka Serikali ijibu mapigo wawavurumishe kisha watu wao waombe hifadhi ulaya na marekani,watu ambao nchi hizo haziwajui vizuri.
Marekani na Ulaya nafikiri wanajua vizuri nani alihusika na kulipua ubalozi wa marekani Tanzania alitokea wapi wasijifanye kusahau historia haraka.
Viongozi wengi wa zamani wa Ulaya na Marekani walikuwa wakiijua Zanzibar vizuri kuliko walioko sasa ambao hufumba macho na kujifanya vipofu.
Ushauri wangu hizo nchi zikae mbali na mambo ya CUF.Mchana wataziita nchi za magharibi na Marekani kuwa ni watu wazuri wapenda demokrasia ikifika usiku watawaita makafiri na mashetani ya nchi za magharibi na marekani.
Hao CUF tuachieni wenyewe watanzania nyie endeleeni na shughuli zenu wasiwasumbue vichwa