Ulaya imeamini sasa Israel alikuwa sahihi baada ya Iran Kurusha kombora lenye uwezo wa kupiga nchi za ulaya km 4000 ni kosa kubwa la Iran kimkakati

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,771
Reaction score
4,913
IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles)

Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka mno.

Unapoenda kutumia makombola ya namna hii ina màana unawapa nguvu Israel ambao kila siku ya likuwa ni madai yao

Kuwa inatengeneza makombora ya kulenga miji ya Ulaya ina maana Israel ataonekana yupo sahihi maana ulisha wahi kuulizwa kuwa unatengeza hayo makombora ya 4000km ukakataa.

Israel anataka kuitumia hiyo ndio kigezo na alisha wahi kuwa ambia ulaya kuwa Iran inatengeza mabomu ya kuweza kufika ulaya kwenye miji yao mikubwa.

Lakini umoja wa ulaya ulipuuza na kukataa sasa irani wamesha tumia hilo bomu zapo haya kufanikiwa kufanya mazara

Ulaya lazima wainuse hiyo hatari wataka wasitake Irani kaji kaanga yeye mwenyew kwa mafuta yake mwenyew

Kutafuta sifa na kuonekana anapambana kunaenda kufanya Israel wapewe angizo la kumaliza hiyo kazi hapo ndipo atapigwa mpaka atachakaa maana target itakuwa sio tena kuangalia watu na malizao

Saiv Israel na Marekani wapo kule ila wanaangalia wasitengeneze mazara makubwa kwa watu

Irani inaongozwa na watu wa sio na uwezo wa kufikirilia na kuchanganua mambo.

Kombora alilofyatua hata halikuleta mazara kwa sababu ya ubali kulikuwa na haja ipi ya kufyatua Kombora ambalo halitaleta madhara

Utawala wa dola ya Kiislamu ya ilani inaongonzwa na watu wa hovyo na ujajusi wao ni hovyo.
 
Hilo kombora halijarushwa ulaya limerushwa kwenye kambi ya UK Bahari ya hindi moja likafika na moja likatunguliwa..btw kwani nchimza ulaya wenyewe kama france ,italy na German hawana hayo makombora???
Hata angerusha baharini
Kinachoangaliwa ni umbali aliutumia mkuu km 4000
Amekuwa akikanusha muda mrefu
 
Sio kosa hata kidogo, US na Ulaya wana ia-underestamet Iran kuwa uwezo wake ni kombora la 2000km tu., sasa hii kama Iran karusha kweli kombora la 4000km adui atazidi kupata stress kwamba Iran hasomeki na anaweza kufanya makubwa zaidi hivyo watamchukulia kwa tahadhari sana.

Amini usiamini Iran anaweza kuwa na silaha za Nuklia tayari, kwa sababu hesabu zao ni kali sana tena kwa muda mrefu, na walijua miaka mingi iliyopita kwamba siku itafika adui atajitokeza kwao na wamejipanga vipi kukabiliana naye, ndicho hichi kinachoonekana kwenye hii vita sasa ni wiki 4, Netanyahu na Trump mchana kweupe amewataka washirika wake waingie kwenye hii vita.

Ivi kwa akili zako wewe unadhan Marekani hawataki kumpiga adui yao Mrusi? North Korea, China? jibu ni kwamba wanataka hata sasaivi lakini shida inakuja kwamba hawana jibu kamili vipi haya mataifa yatajibu kwa huyu anayejiita superpower, ndio maana kuna hii dilema na vita ya maneno tuu.

North Korea kila siku anajaribu makombora yake ya masafa ya mbali ile maana yake ni kumtia kiherehere US na washirika wake kwamba mukianza tu na nyinyi hamtakuwa salama na watu wenu ndio mana kuna heshima
 
Hata akikubali utamfanya nini?sasa hivi hali imekuwa mbaya unataka atumie silaha dhaifu ili aendelee kuumizwa?
Maneno yako hayana mantiki hata kidogo
Iran imekuwa ikikanusha mipango mingi miovu waliyonayo underground ikiwemo kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia

Hata za missile za masafa marefu alikanusha akisema analenga kujilinda TU
Kitendo Cha kudhirisha wazi missele za km 4000 kimezifungua macho kuwa Iran ana uwezo wa kushambulia hata ulaya
 
hoja yako ni ipi hasa
 
Tangu amiliki hayo makombora Iran kaanzisha ugomvi na nani??
Hao wasio kuwa vichaa wamewashambulia wangapi??
Kitendo Cha kushambulia majirani zake wote kilionyesha hila ya Iran ni mbaya sana Hadi Kwa wenzake wa Imani Moja

Fikri ana uadui Hadi na Saudi Arabia nchi ya miji Mtakatifu ya waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…