Ulaniwe wewe mwanamke unayemchuna mwalimu

Nyie wanawake kuweni na huruma jamani !
 
ndo ufu suka muuache mmezidi! NA ALAANIWE ATAKAYE ONA HURUMA KUMCHUNA MWALIMU
 
Walimu wa kiume ni tegemezi hatari! kila kitu mama tuchangie tununue, ijumaa anaweka virago kwa mademu zao wasave bajetivya msosi hadi jumatatu kuweni makini nai
 
Walimu nao wapunguze kulia lia,kuna watu wanashida kuliko walimu hata keshokutwa hawajui itakuwaje wameuchuna tu wanakomaa na maisha,walimu wana angalau ya uhakika wa mishahara mwisho wa mwezi lakini kujiliza hakuishi..wachunwe tu hakuna namna.
 
Wafanyweje wakati wenyewe nao wanataka huduma? Hakua cha bure watulie wasubiri kuoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…