Ulaji wa chips na afya yako!

Ulaji wa chips na afya yako!

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.

SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.

Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.

UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA

JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.

WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi

“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”

lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba

kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao

Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu

Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???

Kama umenielewa tuandikie hapo chini.

Health consultation
Tunajali afya yako
Waambie clauds waliweka tamasha la zege day niliwashanga Sana..
 
SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250
Ingekua hivi chips zisingekuwepo mtaani.

Yaani sahani moja inanyonya nusu glass au ni kijiglass cha tot za jero jero huku kitaa?? Ila kama ni glass hizi ndefu huo ni uongo kabisa.
 
Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.

SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.

Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.

UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA

JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.

WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi

“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”

lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba

kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao

Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu

Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???

Kama umenielewa tuandikie hapo chini.

Health consultation
Tunajali afya yako
Swala ni je wataweza kweli kuacha kula Kiepe,Chipsi teketeke au Vuruga...?
 
Hizi taarifa, utadhani kuna tafiti za kweli ndani yake.

Hivi Cheese ipo kundi gani? Kama kawaida, wenzetu pale Magharibi ya Africa, wese wanalokula daily, wasingefika hata idadi ya 10m kwa nchi, ajabu wanaitafuta 210m

Kama ni kwaajili ya kupatia Masters, sawa endeleeni ila ndo msituletee sisi huku mtaani huo uongo uongo
 
HII DUNIA NAISHANGAA SANA
MAFUTA AMBAYO KIAFYA YANA SAIDIA,NDIYO YANAUZWA GHALI
SASA NYIE KAMA MNAJALI AFYA ZA WANADAM KWANINI MAFUTA YA ALIZETI NK,YASIUZWE BEI NAFUU
MKAOKOA MAISHA YA WATU

ova
Mafuta ya alizeti hayasaidii chochote,zile Ni marketing gimmicks tu.Mafuta yanayotokana na mbegu Ni hatari sana tu.

Mafuta Bora Ni yanayotoka na parachichi/Nazi na yawe cold pressed na sio kwa centrifugal au single auger.Ila Bei ya hayo Mafuta wataoziweza Ni wale tuliobahatika kulamba asali.
 
Duh nmekuelewa

Ova
 
Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.

SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.

Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.

UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA

JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.

WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi

“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”

lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba

kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao

Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu

Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???

Kama umenielewa tuandikie hapo chini.

Health consultation
Tunajali afya yako
Kuna uongo hapo kwenye sahani moja ya chips kuwan 250 mls za mafuta.
Lita moja ina 1000 mls, sasa ina maana Lita moja ya mafuta sahani nne za chips yanaisha?
Rekebisha huo ni uongo.
 
Dah! Pale Iringa mjini kwa Mzee Mgaya, kuna kijiwe fulani hivi kinatumia mafuta machafu mpaka basi.
Ukifika unakuta mafuta ni machafu mpaka hamu ya kununua hizo chips inakata ghafla! Halafu hata hawajali.

Ahueni kwa sababu ni mwanaume wa Mkoani, huwa nanunua kuku wa kienyeji wa kuchoma nusu, na ugali wa dona.
 
Umejizungusha wee mwisho umezisingizia chips eti zinaleta tatzo la nguvu za kiume...
Me naendelea kula vzuri chips yai rojo na kuku sijawah kujihisi nina tatzo la nguvu za kiume nina miaka ya kutosha duniani hapa...
Tatzo la nguvu za kiume lina sababbishwa na mengi:- kupiga nyeto, kuangalia picha na video za ngono, uoga na papara wakat wa sex, stress za maisha, kisukari, vidonda vya tumbo, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi ya pombe kupita kias, presha, kumzoea na kumchoka mpenz wako, kutojiamini n.k...
Kwahiyo msisingizie chips vijana, wewe kaa ujitathimini kati ya hizo sababu kuna yoyote uliyonayo, kama ndiyo ifanyie kazi...
 
Mafuta ya alizeti hayasaidii chochote,zile Ni marketing gimmicks tu.Mafuta yanayotokana na mbegu Ni hatari sana tu.

Mafuta Bora Ni yanayotoka na parachichi/Nazi na yawe cold pressed na sio kwa centrifugal au single auger.Ila Bei ya hayo Mafuta wataoziweza Ni wale tuliobahatika kulamba asali.
Yanapatikana wapi hayo Chifu, na kwa bei gani?
 
Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.

SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.

Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.

UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA

JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.

WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi

“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”

lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba

kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao

Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu

Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???

Kama umenielewa tuandikie hapo chini.

Health consultation
Tunajali afya yako
Kweliii...mwenye sikio na asikie..thanks
 
Unakuta mahali mafuta yamekuwa meusi Kama oili chafu,Yani hivyo viazi vikiwekwa kwenye mafuta hayo ni ngumu mno kuziona hizo chipsi kwa sababu ya weusi wa mafuta...
 
Umejizungusha wee mwisho umezisingizia chips eti zinaleta tatzo la nguvu za kiume...
Me naendelea kula vzuri chips yai rojo na kuku sijawah kujihisi nina tatzo la nguvu za kiume nina miaka ya kutosha duniani hapa...
Tatzo la nguvu za kiume lina sababbishwa na mengi:- kupiga nyeto, kuangalia picha na video za ngono, uoga na papara wakat wa sex, stress za maisha, kisukari, vidonda vya tumbo, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi ya pombe kupita kias, presha, kumzoea na kumchoka mpenz wako, kutojiamini n.k...
Kwahiyo msisingizie chips vijana, wewe kaa ujitathimini kati ya hizo sababu kuna yoyote uliyonayo, kama ndiyo ifanyie kazi...
Wewe kweli una shida sana ulichoandika hapa kimekuvua nguo mkuu
 
Usione aibu njoo private nikusaidie bure namna ya kuondokana na tatzo la nguvu za kiume... Ila usijidanganye vyakula kama chips yai ndio chanzo... Jikubali una shida usitafute mchawi
 
Chps sahan 1 ina mafuta glass 1 😀😀😀
Huyu jamaa nadharia za kule youtube kuhusu junks kabeba kama zilivyo
 
Back
Top Bottom