Habari wakuu, aisee naomba kujua kama kuna namna yoyote yakudhibiti matumizi makubwa ya Mb,hasa nikitumia Instagram, yaani mb 600 Ku katika kwa nusu SAA inakuwa kawaida endapo nikichek short clip za insta,tofauti hata nikichek YouTube.
Msaada kama kunasehemu pengine inaruhusu data kupukutika kwa kiasi,ili nidhibiti