Ulaji mafuta - Toyota IST

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
784
327
Habari wadau!

Naomba ushauri. Nina Toyota IST ya mwaka 2003 nimeiagiza kutoka Japan ina kama mwezi wa tano sasa lakini sijaridhika na ulaji wake wa mafuta.

Ni 1.3litre, mileage 140,000 km haina shida yoyote lakini inaenda 9km kwa litre. Nimesoma mitandaoni forum nyingi wanasema IST mpya inaenda mpaka 18km kwahio nikajua kwakua hii ni used na mileage imeenda sana ingeenda walau 12km kwa litre.

Nimepeleka kwa fundi kaicheki kwenye computer hajaona shida na fundi wa kawaida kacheki plus kasema ziko sawa labda kama nitataka kubadilisha.

Naomba ushauri nini nibadili au nifanye ili nipate walau consumption ya 12km/litre.

Asante
 
-upepo
-air cleaner
-wheel balancing
-rpm
Etc yote haya huchangia gari kula sana mafuta.
 
Back
Top Bottom