Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

Josemyinga

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
12
Reaction score
20
Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟

ā€œChips yai na soda baridi sanaā€ šŸ”„

Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya damu.

Kwa mujibu wa WHO, kati ya vifo 5, vifo 4 vinahusishwa na magonjwa ya moyo.

Mshtuko wa moyo hutokea pale mzunguko wa damu unapozuiliwa ghafla.

Dalili za kawaida ni:

• Maumivu upande wa kushoto wa kifua

• Kichefuchefu, jasho jingi, au pumzi kukatika


Jinsi ya kupunguza hatari:

• Kula vyakula visivyo vya kukaanga sana

• Ongeza mboga za majani kama mchicha, kabeji n.k

• Fanya mazoezi mara kwa mara



Habari njema!

Vipimo vya moyo na mwili mzima vinavyotolewa kwa kawaida Tsh 90,000–120,000,

leo unapata kwa Tsh 35,000 tu! šŸ©ŗā¤ļø



Linda moyo wako — afya yako ni msingi wako.
 
Tujikumbushe kitu kimoja tunaposema hiki ni kibaya na hiki ni kizuri..Mazingira tofauti yanafanya jambo liwe zuri au liwe baya.
Cholesterol ni mbaya kwa sababu inaweza kusababisha kuharusi, mishipa ya damu kuziba, Blood pressure nk. ILA Cholesterol ni nzuri sana kumaintain afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake, kurepair cell za mwili, afya ya ubongo nk..( Uchawi upo kwenye kiwango unachotumia vs Lifestyle yako)
Kama wewe sio mtu wa movement nyingi au mazoezi, cholesterol itakuumiza kama upo active na kiwango cha cholesterol sio kikubwa sana kwako(kila mtu ana kiwango chake cha too much kwa sababu tunatofautiana pilika pilika za kila siku na pia kiwango cha stress) cholesterol inaweza kukusadia kuishi kwa afya zaidi.

nakubaliana na mtoa mada 100%, japo napenda kuongeza tena kuwa stress, hofu, msongo ni mbaya kuliko chakula chochote unachoweza kula kwa sababu wengi wanakula kupita kiasi kwa sababu ya stress(emotional eating), ukiwa na stress mwili unabadilisha vyakula kuwa sumu mwilini(mfano wanga unabadilishwa kuwa mafuta na kutunzwa mwenye mwili na mishipa ya damu vitu vinavyochangia maradhi ya moyo nk). Depression inasababiza mtu asiwe na movement, bila movement digestion haifanyiki vizuri bila digestion nzuri matatizo mengine kibao ambayo yatakusababisha ulaumu chakula usahau akili yako inacontrol jinsi gani mwili unarespond kwenye chakula..
Kusema yote narudi kusema
1. kula chakula kizuri kwa afya ni bora kuliko kula junk food,
2. kula junk food hakuna madhara makubwa kama kula vizuri under depression na stress etc
3. Kula junk food na una stress na depression ni guaranteed lazima mwili upate madhara
 
Back
Top Bottom