Ukwepaji Kodi: TRA wawashusha Serengeti Boys njiani walipokuwa wakielekea kwa Makamu wa Rais

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Mamlaka ya Mapato Tanzania Wamewashusha Njiani Timu ya vijana chini ya miaka 17 TRA wakilitaka Basi lililokua limewabeba vijana hao ili kulipiga mnada waweze kulipa deni la kodi.

Ni hatua nzuri kama unashindwa kulipa madeni maana yake umefilisika na kama umefilisika Mali zako zitauzwa na Cha kwanza Kulipwa huwa Kodi kama unadaiwa na Wadai wengine

Hii ni Hatua nzuri na fundisho kwa Taasisi zingine zinazokwepa kulipa kodi na Alarm hii inaonesha kuwa Nchi hii si yawapiga dili tena.

TFF failed to pay her debt when they fall due liquidation lazima.
 
Yaani juhudi zote hizo na kutafuta kick ya kuzima mapokezi na shangwe aliyoipata jk leo pale bungeni

Nyota ya mkwere ni kali na hamuwezi kuififisha kwa kick za kitoto
Subiri kesho uone magazeti story ipi itakuwa front
Au angali taarifa ya habari leo usiku
 
Kwahiyo Kikwete siyo Dhaifu, Mkwere na Vasco Dagama ?
 
Yaani juhudi zote hizo na kutafuta kick ya kuzima mapokezi na shangwe aliyoipata jk leo pale bungeni

Nyota ya mkwere ni kali na hamuwezi kuififisha kwa kick za kitoto
Subiri kesho uone magazeti story ipi itakuwa front
Au angali taarifa ya habari leo usiku
Sema Leo Sina hoja tu.TRA wako kazini.Hawako kutafuta kuandikwa ktk magazeti yenu ya Udaku.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania Wamewashusha Njiani Timu ya vijana chini ya miaka 17 TRA wakilitaka Basi lililokua limewabeba vijana hao ili kulipiga mnada waweze kulipa deni la kodi. Ni hatua nzuri kama unashindwa kulipa madeni maana yake umefilisika na kama umefilisika Mali zako zitauzwa na Cha kwanza Kulipwa huwa Kodi kama unadaiwa na Wadai wengine. Hii ni Hatua nzuri na fundisho kwa Taasisi zingine zinazokwepa kulipa kodi na Alarm hii inaonesha kuwa Nchi hii si yawapiga dili tena. TFF failed to pay her debt when they fall due kuita liquidation lazima.

Mh! Kwenye migodi tunavyoibiwa kungekuwa na seriousness ya aina hii tusingehitaji msaada wowote toka kwa mtu wala nchi nyingine. Ila nashangaa huko yaan ni kama kwa mama mkwe, Mungu ibariki nchi hii
 
Hawajui saikolojia ina uhusiano upi na michezo;wangewaacha wafike then wachukue gari bila hao vijana kujua kingeharibika nini?kwa umri wao wanahitaji kujengwa kisaikolojia kwamba nchi inawategemea lakin kwa kilichofanyika watajua wao ni timu ya TFF na sio Tanzania
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania Wamewashusha Njiani Timu ya vijana chini ya miaka 17 TRA wakilitaka Basi lililokua limewabeba vijana hao ili kulipiga mnada waweze kulipa deni la kodi.

Ni hatua nzuri kama unashindwa kulipa madeni maana yake umefilisika na kama umefilisika Mali zako zitauzwa na Cha kwanza Kulipwa huwa Kodi kama unadaiwa na Wadai wengine

Hii ni Hatua nzuri na fundisho kwa Taasisi zingine zinazokwepa kulipa kodi na Alarm hii inaonesha kuwa Nchi hii si yawapiga dili tena.

TFF failed to pay her debt when they fall due kuita liquidation lazima.
Kodi kwanza
 
Back
Top Bottom