Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo,ndiyo maana mnafungishana ndoa wenyewe kwa wenyewe za suruali kwa surualiIli kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman
the untouchables are being touched now,i wonder how much tax he has evaded over the ten years...janatul firdaus ni ngumu kuiona kwa style hii.
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?