Ukweli wa Pesa Upo Wapi-"Nani Mtani JEMBE"

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,566
Reaction score
7,457
Jamani mi napata Kizungumkuti kujua hili Fumbo..."Nime-google" sijaambulia kitu!! Reference za watu hapa Jamvini ni "Head-ache"..kipi ni kipi? Nani kapata pesa ndefu kati ya Simba mshindi au Yangu mzibua vizibo?????????????
Kuna mchambuzi mmoja alifika mbali zaidi akasema...Nanukuu..." Zilitengwa Milioni 100, Simba zao mil 50 na Yanga mil 50....Sasa ukituma msg moja kwa Simba basi Tsh 1000 katika ile mil 50 za Yanga inaenda Simba & Vice Versa is also true and same". Hadi mwisho wa game Simba kaambulia milioni 1+, na Yanga Mil 98+....Ukweli Halisi ni Upi manake nilisikia Bingwa anakabidhiwa Milioni 100. Na Simba ndio Bingwa.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…