Ukweli wa kuchanganya: Wasomi wa nchi masikini

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
KATIKA NCHI TAJIRI WASOMI WENGI WANAMAUMBO YA WASTANI/SIO OVERWEIGHT NA WATU WASIOENDASHULE ULAYA NDIO WANAONGOZA KUWA MATIPWATIBWA, MABONGE, WENYE UZITO ULIOPITILIZA.

NCHI MASKINI, WATU WLIONDA SHULE NDIO WANAONGOZA KWA KUWA NA MAVITAMBI, UZITO ULIOPITILIZA, WAKATI WATU WASIOENDA SHULE WENGI WAO NI WAKAWAIDA, WENYE UZITO UNAOLINGANA NA UMBILE LAO.

ELIMU INATUKOMBOA AU INATUKOKOTA
 
Ulaya tajiri anapanda treni masikini anapanda bus,bongo tajiri anapanda bus masikini anapanda treni.
 
Hahaha ni ukweli mchungu. Mbele tajiri ndio Anaweza kula vizuri na kufanya mazoezi, bongo tajiri ndio anakula vibaya na hafanyi mazoezi wakati shughuli za maskini ni zoezi tosha
 
Ulaya tajiri anasomesha na kusaidia waafrika umasikini na watoto wao.
Africa tajiri anawazurumu mashamba, anakwepa kodi ambazo zingewasaidia masikini,
Anawatoa kafara, anaabudiwa na umasikini japo anawanyonya.
 
Back
Top Bottom