Ukweli usiosemwa

Wawekezaji uliowataja hapo ni kweli inaashiria kuwa hatuna dira wala mwelekeo kitaifa ambao wawekezaji uchwara wanachukua kazi za wananzhi. Na hao hao wanahamisha pesa yetu yakitanzania kwa kununua dola.
 
Pangepatika shule zinazofundisha jinsi ya kupata pesa ningeelewa,ila elimu hyo hua inapatikana mitaani tu.na kuna wenye elimu za mashuleni mitaani na wameshindwa hata kuendesha maisha yao na kubaki kulaumu serikali,uwezo wao wa kufikili kwa kina kujikwamua kwenye umasikini na kutoka kua tegemezi upo chini sana sana.tungewathibitisha watu wenye mafanikio makubwa walioanza ngazi za chini mpaka juu kibiashara,kiukulima n.k tuwafanye ndo wawe waalimu wa kupambania mafanikio wafundishe vijana wetu,waalimu hawa wasiwe wamepata pesa kwa njia za ufisadi wala imani za kishirikina.wawe wenye mafanikio ya kweli kwa uwajibikaji.mwenye kufikili kidogo atanidharau najua. Over
 
Hapo ndipo hoja ya Katiba huingia, nchi hii haina ROAD MAP, kila kiongozi mpya wa nchi akiingia, anaingia na agenda yake. This is bad in the meaning of it. Wachina walichimba bwawa kwa miaka zaidi ya kumi na tano. Watu wenye mipango huweka maslahi ya Taifa mbele, Tanzania tunaweka maslahi ya chama, binafsi mwishoni ndipo tunaweka utaifa, hatuwezi fika kwa wakati. Sijui ni lini tutampata Joshua wetu, maana Musa tulimpata akafia njiani
 
Ni ujinga uliopiliza kumlalamikia Mwl. Nyerere wakati aliwaachia viwanda mkaua, mabenki mkaua. Halafu unalalamika baada ya zaudi miaka 30 tokea aondoke madarakani, tatizo ni poor planning na ukosefu wa uzalendo
 
We mtoto haya umeyajuaje wakati umezaliwa tayari Nyerere alikua ameshafariki
 
Tuondolee upumbaf wako hapa
 
Nyingine hii umegharamika kuanzisha mahakama ya mafisadi alafu imekamilika unasema sifukui makaburi ntashindwa kuyafukia
 
Naomba kuuliza hivi katiba mpya inaweza kuzalisha ajira kwa asilimia ngapi au inaweza kuinua uchumi wa nchi?
Inaweza kuwatoa wabovu madarakani kuweka watu wenye mawazo mapana na fikra za kimaendeleo hivyo kunyanyua uchumi kuliko kuongozwa na vilaza
 
Rais kasema hivi kuna mihimiri mitatu lakini amesema vyote hivi vinategemea serikali (yeye) hivyo yeye ni mhimiri wa nne na ana uwezo wa kuvunja katiba. Nchi zilizoendelea kisiasa Rais hana ubavu wa kuvunja katiba.
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…