Kamanda hapo namba moja ebu fafanua. Inakuwaje nchi iliyoendelea na imeendelea kama UK wakati haina katiba mpya. Wao wamefanyaje fanyaje? ?Zamani tulikuwa sawa kimaendeleo na mabara mengine kama Europe n.k karne ya 15 hivi. Baada ya miaka kadhaa Europe , Marekani , Japan n.k Zikatuacha ,, hii hasa hasa ni 1750-1850.... Kabla ya vita kuu ya dunia.
Currently nchi karibu zote zisizo za kiafrika zimetuacha mbali sana kimaendeleo ,,,. Tanzania ,Brazil na India ziliwahi kuwa sawa kiuchumi miaka Fulani hivi tena si zamani sana ni kama 1950.... hivi.
Unadhani sababu kubwa ya sisi kuendelea kuwa maskini na wao kuwa matajiri ni nini?
NISOME KIDOGO..
Enzi hizo wao walikuwa masikini kiuchumi nasi tulikuwa masikini kiuchumi vile vile lakini sisi tulikuwa pia MASIKINI KIFIKRA,, huu ndio umaskini mbaya kuliko umasikini mwingine wowote ule. Unafikiri wazungu waliweza kututawala Kwa sababu ya umasikini wetu kiuchumi? La hasha ! , unafikiri wazungu wameweza kutufanya soko la silaha zao hivi hivi tu ? Ni umasikini wetu kifikra ndio sababu kuu. Just Imagine.
1. Utainyoosha vipi nchi bila kuwa na katiba bora? Huu si ndio umaskini wa kifikra wenyewe? Katika taifa kubwa kama Marekani huwez kutenganisha mafanikio yao na uimara wa katiba yao.
2. Katika kuifanya Taifa kuwa la Viwanda tunawategemea China ,, lakini ukumbuke kuwa viwanda vya China soko lake kubwa ni Afrika. Unaelewa nini hapo kama si umaskini wa fikra?.. Viwanda vya China na India Vilijengwa na Nani?.
3. Sehem ambayo uchaguzi ulivurugika,, ukafutwa,, manung'uniko yametawala na watu hawasalimiani utasemaje hali ni shwari.
USHAURI
Kama kweli tuna dhamira ya dhati ya kujikwamua kiuchumi kama taifa basi tuanze na vita ya kujikwamua kifikra Kwa kuwekeza kufa na kupona katika Elimu. Huwez kuushinda umasikini Kwa fikra za kimasikni kama tunazozishuhudia.
Ujerumani ilivyopiga hatua wakati wa Hitler ni katiba Ndio iliyosaidia au uongozi wa Hitler?? Italian ya Muscolini ilivyopiga hatua ilikuwa sababu ya katiba au uongozi wa Muscolini ??Lazma tuwe na chuo kikuu kimoja au viwili.hahahah.katiba hainihusu wacha ninyooshe nchi
Huu ndio umaskini wa fikra jamaa anauelezea. Mfano makampuni yote dunia hii hata Azam wana mission na vision, ambayo ndio inayoyaongoza. Kila kitu unachopanga au fanya lazma kireflect kwenye hiz mission na vision zao. Nchi inaongozwa na katiba kwamaana hiyo kila utakalolifanya lazma litokana na liongozwe na katiba. Ndio maana Mkuu Rais anaapishwa na anaapa kuitumikia katiba ya nchi.Naomba kuuliza hivi katiba mpya inaweza kuzalisha ajira kwa asilimia ngapi au inaweza kuinua uchumi wa nchi?
Mkuu kwani katiba mpya inahusu ufisadi tu? Mbona kuna mambo mengi sana kwenye katiba? Mfano muundo wa serikali, mawaziri kutokuwa wabunge, kuwe na tume huru ya uchaguzi n.k! Sasa naona wewe unafikiri watu tunataka katiba kwaajili ya ufisadi.Hapo Kenya juzijuzi tu wamekuwa na Katiba mpya...ila sasahivi wanajuta kwani wanabadilisha vipengele kilasiku na bado hio Katiba mpya nzuri waliopitisha haijaweza kuzuia rushwa yaani ufisadi.
Wananchi bado wanalalamika kuwa ufisadi unekithiri na kuomba Mola awape mtu mithiri ya Magufuli awaongoze.
Afrika ya Kusini wanayo Katiba nzuri sana ila bado wananchi wanalalamika juu ya ufisadi na huku rais wao Zuma akilalamikiwa kutumia fedha za Serikali kwenye mambo yake binafsi.
Tatizo la nchi zetu sio kutokuwa na Katiba mpya au nzuri. Tatizo ni kuchagua viongozi kwa kupewa cjochote na vijana kutokuwa msimamo. Vijana tupo tayari kipiga deki barabarani baada ya kupewa viroba ila hatma zetu (destinies) tunaziweka kando.
Katiba mpya sio suluhu ya matatizo yetu. Katiba mpya ni structure tu ya wanasiasa kujipatia vyeo...
Suluhu ni wananchi hasa vijana kujitambua kwa kuchahua watu wenye maono chanya ya kusimamia HAKI katika kugawana keki ya taifa na sio siasa.
Kusema sijui hakuna demokrasia ni kuimba nyimbo za wanasiasa ambao kama kawaida yao wanataka watutumia kufikia malengo yao. Rais Magufuli ndio mtu sahihi kwasasa kutuongoza ambaye tukimuunga mkono kwa mawazo mazuri na kufanya kazi tutafika mbali kimaendeleo kama nchi na mtu mmoja mmoja...ni hayo tu.
Unajua historia ya ujerumani na Italy au mkuu unasema tu? Mtoa mada amekuwekea na historia ya mataifa ya ulaya na marekani, Hitler amekuja miaka ya juzi juzi tu wakati wajerumani walishakutawala. Nivizuri kuuliza kama ujaelewaUjerumani ilivyopiga hatua wakati wa Hitler ni katiba Ndio iliyosaidia au uongozi wa Hitler?? Italian ya Muscolini ilivyopiga hatua ilikuwa sababu ya katiba au uongozi wa Muscolini ??
Ukiona hivyo ujue katiba yao haina mawaa hata wananchi wake hawaipigii kelele kuwa wanataka mabadiliko ya katiba. Lakini kwa Tanzania walo wengi wanataka kuona katika ya Warioba ikitumika nchi kwetu kwa sababu hii iliyopo haina usawa inamfanya mkuu awe kama tembo kwa kuwa na uwezo mkubwa sana kimaamuzi mpaka anainglia mihimili mingine ya serikali.Kamanda hapo namba moja ebu fafanua. Inakuwaje nchi iliyoendelea na imeendelea kama UK wakati haina katiba mpya. Wao wamefanyaje fanyaje? ?
Wewebumesoma na unatumia Tehama, umejikomboaje?Zamani tulikuwa sawa kimaendeleo na mabara mengine kama Europe n.k karne ya 15 hivi. Baada ya miaka kadhaa Europe , Marekani , Japan n.k Zikatuacha ,, hii hasa hasa ni 1750-1850.... Kabla ya vita kuu ya dunia.