Livinus Merchades Marliv Member Joined Feb 22, 2017 Posts 18 Reaction score 23 Dec 24, 2017 #1 Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema
Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema
R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,516 Dec 24, 2017 #2 ok,subiria mapovu..
Livinus Merchades Marliv Member Joined Feb 22, 2017 Posts 18 Reaction score 23 Dec 24, 2017 Thread starter #3 baron de montesque said: ok,subiria mapovu.. Click to expand... Ha haaaa.. Hao nimewazoea sana maana 75% ya JF ni watu wa kauli mbovu, Jamii Fikirishi
baron de montesque said: ok,subiria mapovu.. Click to expand... Ha haaaa.. Hao nimewazoea sana maana 75% ya JF ni watu wa kauli mbovu, Jamii Fikirishi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,670 Dec 24, 2017 #4 Inasikitisha sana... Kama hizi taarifa ni za kweli... Cc: mahondaw
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,038 Dec 24, 2017 #5 Kwani waoga na wasio jiamini wanakuwaje?
Livinus Merchades Marliv Member Joined Feb 22, 2017 Posts 18 Reaction score 23 Dec 24, 2017 Thread starter #6 king otaligamba said: Kwani waoga na wasio jiamini wanakuwaje? Click to expand... Hupenda kujificha kwenye migongo ya wengine.. Mtu anajiita Ji Gung wakati kwao wanamtambua kama Otieno Kalikumaaso
king otaligamba said: Kwani waoga na wasio jiamini wanakuwaje? Click to expand... Hupenda kujificha kwenye migongo ya wengine.. Mtu anajiita Ji Gung wakati kwao wanamtambua kama Otieno Kalikumaaso
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,286 Dec 24, 2017 #7 acha kukuchosha kalale
Livinus Merchades Marliv Member Joined Feb 22, 2017 Posts 18 Reaction score 23 Dec 25, 2017 Thread starter #8 gango2 said: acha kukuchosha kalale Click to expand...
T Tyupa JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 802 Reaction score 657 Dec 25, 2017 #9 Livinus Merchades Marliv said: Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema Click to expand... Lakini moderator anajua majina halisi pia.
Livinus Merchades Marliv said: Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema Click to expand... Lakini moderator anajua majina halisi pia.
victor siriamaka Senior Member Joined Jul 19, 2016 Posts 184 Reaction score 192 Dec 25, 2017 #10 Kweli kabisaaa
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,269 Dec 25, 2017 #11 shida inakuja unapocreate account,unakuta tayari kuna mtu mwenye id inayofanana na jina lako so ili ucreate account you have to choose another name ambalo litakuwa tofauti na members wote uliowakuta jf
shida inakuja unapocreate account,unakuta tayari kuna mtu mwenye id inayofanana na jina lako so ili ucreate account you have to choose another name ambalo litakuwa tofauti na members wote uliowakuta jf
Wrong Mr Member Joined Jul 22, 2017 Posts 91 Reaction score 78 Dec 25, 2017 #12 Livinus Merchades Marliv said: Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema Click to expand... Toa mfano
Livinus Merchades Marliv said: Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao... Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list Xmass njema Click to expand... Toa mfano
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,269 Dec 25, 2017 #13 Mfano,mi mpaka nimeweka hiyo Hammy Js ni kwamba niliweka Hammy J nikaambiwa username ina mtu ikabid niongeze hiyo "s" ndio ikakubali
Mfano,mi mpaka nimeweka hiyo Hammy Js ni kwamba niliweka Hammy J nikaambiwa username ina mtu ikabid niongeze hiyo "s" ndio ikakubali
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Dec 25, 2017 #14 Sawa bwana Livinus
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,561 Dec 25, 2017 #15 That's why ikaitwa JF...unachokiwaza sicho akiwazacho mwenzako. Ni jukwaa huru la watu kujumuika na kubadilishana maarifa.Hapa username siyo issue sana vinginevyo mods wangeweza kuweka condition hiyo.
That's why ikaitwa JF...unachokiwaza sicho akiwazacho mwenzako. Ni jukwaa huru la watu kujumuika na kubadilishana maarifa.Hapa username siyo issue sana vinginevyo mods wangeweza kuweka condition hiyo.