Mkuu utapewa kesi ya ugaidi kuwa makiniUnaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno...
Ameumiza sana wananchi kupita kiasiUchaguzi unaofata mambo ni yale yale, kiongozi yule yule. Kiufupi hakutakuwa na maajabu. Kazi iendelee
Asilimia zote ni zipi na unajiridhisha vipi na kujua ni zote na hujaacha kuzielewa nyingine ambazo huzijui?Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique...
Hapa ndo huwa tunaonesha ni kiasi gani hatuna focus juu ya serikali,Uchaguzi unaofata mambo ni yale yale, kiongozi yule yule. Kiufupi hakutakuwa na maajabu. Kazi iendelee
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha...
Ndo huyo anawafaa, aliyepita mlilalamika pia.Ameumiza sn wananchi kupita kiasi
Kwani nani kakukataza kuwa na mawazo ya upinzani kuongoza?Hapa ndo huwa tunaonesha ni kiasi gani hatuna focus juu ya serikali,
Tunakubali kuhalalisha kuwa CCM itaendelea kuongoza milele,tutoke usingizini
Na bado tunakamuliwa kwenye miamala ya CM. Tutafika kweli??!!🙉Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique....
Hivi uchaguzi wa tz unaujua wewe au huujui? Kura yako haisadii chochote katika maamuzi.Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique...
Maumivu ya mfumuko wa bei huyasikii?Ndo huyo anawafaa, aliyepita mlilalamika pia. Nini mnataka sasa?
Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tuUnaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique...
Bora umekuwa mkweli. Maana sisi tukishamwaga kazi yetu imeisha tunaendelea na majukumu mengine.Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Weka ushahidiAmeumiza sana wananchi kupita kiasi