Ukweli unaouma

Ukweli unaouma

mafuriko yaua dar es salaam.. kuweni makini na mitaro ya maji machafu, magonjwa ya milipuko yako njiani kulikumba jiji..

kipindu pindu kiko karibu kurudi... hii hali ya mvua kama ikiendelea hivi kunyesha kwa masaa 12, basi tutapoteza wengi..

serikali ya magogoni haiwazi kama kuna watu wanaishi tandale wala mbagala.
 
Back
Top Bottom