Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,432
- 6,515
Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!!
View: https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
View: https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!!
View: https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
EeeAu mitandao wa X bado umefungiwa huko?
Wewe nguruwe mwitu hizo habari zako hazina mashiko yoyote, hawa mabasha zako wayahudi tunajua kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto, mwaka wa pili huu wameshindwa kuokoa mateka wao kutoka kwa wanamgambo wa Hamas, zingatia neno wanamgambo sio jeshi, tena kaeneo kenyewe kadogo tu ka Gaza kina fensi kila kona.Najua unaumia sana unaposoma habari hizi kwa taarifa yako tu nitaendelea kufanya hivyo mpaka na wewe Unye mavi Mbwa wewe!!
Wakati wanauwawa wanawake na watoto wanaume daima wanakuwa wapi? Au mabomu ya wayahudi yanawalenga wanawake na watoto tu wanaume yanawakwepa?wayahudi tunajua kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto,
Ngoja nikupe darasa kidogo Oct 2023 magaidi wa Hamas waliua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 na mpaka sasa hivi tunapoongea wamebaki mateka 58 tu kwa sababu wewe ni zuzu unasema wameshindwa kuokoa mateka wao. Najua siku ukijitambua utajua ukweli!!!mwaka wa pili huu wameshindwa kuokoa mateka wao kutoka kwa wanamgambo wa Hamas,
Kwa taarifa yako tu Mimi si Level yako kwa hiyo hayo matusi yako peleka kwa watu wa Level yako naona mnaweza kuelewana huko!!!Wewe nguruwe mwitu hizo habari zako hazina mashiko yoyote, hawa mabasha zako
Mkuu, mbona unaumia bila reaction!Wewe nguruwe mwitu hizo habari zako hazina mashiko yoyote, hawa mabasha zako wayahudi tunajua kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto, mwaka wa pili huu wameshindwa kuokoa mateka wao kutoka kwa wanamgambo wa Hamas, zingatia neno wanamgambo sio jeshi, tena kaeneo kenyewe kadogo tu ka Gaza kina fensi kila kona.