Ndoa nyingi watu wanaishi kwa kuvumiliana tu ili walee watoto wao, ila upendo ni O, sasa wewe fikilia una mke lakini ukiomba mechi unanyimwa ama unapewa kimyakimya, alafu uko zako katika mihangaiko yako unaona text Nakupenda mme wangu,,
Hakika lazima uhisi kuwa kapatwa na ugonjwa wa kichaa