Hata muda ninao basi!!!
Kwenye vitabu yule mwalimu alilaumiwa baada ya pombe kuisha kwenye harusi. Akaamua awaletee ulanzi maana ilikuwa hamna namna.
Wahudhuriaji walishukuru sana maana aliwaletea mtogwa, walikunywa hadi kunakucha
Nchi za kiarabu wanauwana sana kwa kujilipua pindi mtu anapokuwa na hasira. Hana pa kwenda kupunguzia stress zake Dada poa hakuna pombe hakuna. Kwa hyo uwepo wa pombe unapunguza stress sana ikiwa tu utaitumia kwa kiwango sahihi. Ukizingatia swala LA afya na ustaarabu wakt wa kunywa yaliyobaki pombe inafaida sana