SalasalaπππKwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba katika kata zote za Wazo Salasala ndio mtaa unaoongoza kwa kuwa na watu wenye hadhi au waliowahi kuwa na
Kati ya maeneo hayo tajwa ni wapi pa kishua na palipochangamka zaidi kibiashara na kimaendeleo.
Karibuni tuchangie kistaarabu wakuu.
Nimeishi salasala for over 10yrs. Pia nina ndugu zangu pale. SALASALA ni Masaki NdogoHata mimi nasikia salasala kumekucha ukilinganishe na maeneo mengine tajwa hapo juu.
Sio inasemekana, bali huo ndio ukweli. Hauwezi kuilinganisha salasala na sehem za kipuuzi kama hizo ulizotaja hapo juu.Mbona inasemekana kuwa salasala ni mji mpya, watu wameanza kujenga miaka kadhaa tu iliyopita?
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba katika kata zote za Wazo Salasala ndio mtaa unaoongoza kwa kuwa na watu wenye hadhi au waliowahi kuwa na hadi serikalini, pia wakadai kwamba Salasala ndio inayoongoza kuwa na majumba makubwa, mazuri na ya kisasa, pia inaongoza kwa hali ya hewa nzuri na maeneo bomba ya kutulia na kupanga mikakati ya kimaisha, pia eti Salasala imechangamka hata kibiashara ukilinganisha na maeneo mengine nk.
Ghafla wakadakia wengine ambao walidai kwamba Mivumoni ndio kwenye hizo sifa zilizotajwa hapo juu,
huku mungine akisema kuwa Madale ndio moto wa kuotea mbali,
mara wengine waseme Kisanga, mara wengine eti Kilima hewa, wengine Kilima hewa juu, wengine wazo kwenyewe.
Sasa wakuu kwa wale wenyeji na wazoefu wa maeneo hayo naomba mnipe majibu ili nikirudi tena kule nikikutana na ubishi wa aina hiyo nimalize ubishi kwa kutumia fact nitazopata humu.
Kati ya maeneo hayo tajwa ni wapi pa kishua na palipochangamka zaidi kibiashara na kimaendeleo.
Karibuni tuchangie kistaarabu wakuu.
Godzilla ameimba nyimbo hii miaka ya 2007. Salasala ilikuwa porini. Walikuwa wanaishi wahuni tu na wasukuma wakichunga mbuzi na ng'ombe.
Kumbe salasala ndio kiboko ya hayo maeneo mengine. SaluteSio inasemekana, bali huo ndio ukweli. Hauwezi kuilinganisha salasala na sehem za kipuuzi kama hizo ulizotaja hapo juu.
Salasala ndio Ostabay au Masaki ijayo. Watu wenye pesa zao, vyeo vyao na nyadhifa zao ndio wanaojenga kwa kasi ya kimbunga salasala.
Hapakuwa na maji hadi mwaka 2015.Salasala ya sasa nasikia ni small heaven everything good is there.
Oysterbay na Masaki yale maeneo ni habari nyingine. Yale maeneo yameplaniwa kidhungu sana.Sio inasemekana, bali huo ndio ukweli. Hauwezi kuilinganisha salasala na sehem za kipuuzi kama hizo ulizotaja hapo juu.
Salasala ndio Ostabay au Masaki ijayo. Watu wenye pesa zao, vyeo vyao na nyadhifa zao ndio wanaojenga kwa kasi ya kimbunga salasala.
Mkuu umenichekesha sana eti salasala ni "small heaven" πππSalasala ya sasa nasikia ni small heaven everything good is there.