Ukweli ni upi kuhusu bahari ya Hindi kusafiri?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
Tangu niko mdogo nimekuwa nikisikia kwamba maji ya bahari ya Hindi huwa yanasafiri kiasi kwamba mtu unaweza kuingia baharini kuchukua baadhi ya vito pasipo maji kuwepo.

Kwa bahati mbaya sijawahi kuona kwa macho yangu hicho kitu.

Naombeni wataalumu mnisaidie kujibu haya maswali;

1.Hili tukio ni kweli maji huwa yanaafiri au yanapungua?

2.Kama yanasafiri huwa yanakwenda wapi?Na huchukua muda gani?

3.Ina uhusiano na imani za kishirikina au majini?

4.Inatokea bahari zote au hii ya kwetu pekee?
 
Umewahi kufika ukanda wowote wa Pwani, kuanzia Dar hadi Mtwara?
Umesoma somo la Jiografia?
 
Huu uzi mods walikuwaga wameupiga pending sijui kwanini
maswal ya kindez.... mods sio wapumbav kuruhusu kila kitu kujadiliwa......

ndio yanasafiri.... ukiona dar hayapo ujue yapo tanga ... Zanzibar au mtwara...

ukishaokota ivyo vitu unavyosema. ..... yenyewe ndio yanarud teenah
 
Mimi niliona likitumia basi la Tashrif kwenda mkoani. Sasa sijui kama nauri ililipwa
 
Hilo Swali kauliza,, mnaliona LA KIPUUZI. lakini ni kubwa sn bila SHULE iliyonyooka,,, MAJI YA BAHARI YANAKWENDA WAPI? badala ya kumpa majibu MNAANZA KUMPONDA,,, Kama Huna cha kujibu SOMA COMENTS...
 
Tangu niko mdogo nimekuwa nikisikia kwamba maji ya bahari ya Hindi huwa yanasafiri kiasi kwamba mtu unaweza kuingia baharini kuchukua baadhi ya vito pasipo maji kuwepo.

Kwa bahati mbaya sijawahi kuona kwa macho yangu hicho kitu.

Naombeni wataalumu mnisaidie kujibu haya maswali;

1.Hili tukio ni kweli maji huwa yanaafiri au yanapungua?

2.Kama yanasafiri huwa yanakwenda wapi?Na huchukua muda gani?

3.Ina uhusiano na imani za kishirikina au majini?

4.Inatokea bahari zote au hii ya kwetu pekee?
Ndiyo yanakupwa nakujaa yanapo rudi unaweza ukasimama ukaona maji yako magotini ila ajabu unapo sogeambele kama unataka kutoka unaweza kukuta maji ya shingo mpaka leo na amini baharini kuna miinuko ambayo kwa macho ya kawada huwezi iona
 
Sijakuelewa mkuu kwamba unaingia yanakufikia magotini kutoka yako shingoni?
 
Hilo Swali kauliza,, mnaliona LA KIPUUZI. lakini ni kubwa sn bila SHULE iliyonyooka,,, MAJI YA BAHARI YANAKWENDA WAPI? badala ya kumpa majibu MNAANZA KUMPONDA,,, Kama Huna cha kujibu SOMA COMENTS...
Kweli mkuu tatizo mtu kujifanya yeye ni bora kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom