Ukweli ni Upi? faru John aliugua au aliuawa na Tembo?

kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,708
1,026
Kuna habari, tena kutoka huko Serengeti kwamba Faru John aliuawa na Tembo, leo tunaambiwa aliugua. Ukweli wa Faru John utajulikana tu pale wananchi na wafanyakazi katika eneo hilo watahojiwa. Wana ukweli juu ya suala hili. Hebu tuwekeni sawa.
 
si wanasema ripoti ya daktari ipo alithibitisha kifo chake, sasa iwekwe wazi tujua n kipigo ama maradhi.

wanazingu hawa wala hakuna cha kipigo wala maradhi ni dili tu na wanatuchezea akili hao wahifadhi na aliyeomba maelezo
 
Back
Top Bottom