Hapana lengo nikutaka kuwepo sasa na Uwazi nsiyo kusubiri Rais ajae atuonyeshe madudu ya mtangulizi wake then na sisi tufarahie...kingine hili nilakujifunza kua Serikali za CCM siyo zakuaminiwa..Hueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
Hueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
Si kila jambo huwekwa hadharani, hata hizo serikali zilizoendelea za UK, America and his allies zinaendeshwa kwa usiri, usiri hauepukiki katika kuendesha serikali, kinachotakiwa ni kwa viongozi kutanguliza maslahi ya nchi kwanza kabla ya kitu chochote kileHapana lengo nikutaka kuwepo sasa na Uwazi nsiyo kusubiri Rais ajae atuonyeshe madudu ya mtangulizi wake then na sisi tufarahie...kingine hili nilakujifunza kua Serikali za CCM siyo zakuaminiwa..
Si kila jambo huwekwa hadharani, hata hizo serikali zilizoendelea za UK, America and his allies zinaendeshwa kwa usiri, usiri hauepukiki katika kuendesha serikali, kinachotakiwa ni kwa viongozi kutanguliza maslahi ya nchi kwanza kabla ya kitu chochote kile
Anataka political millage angejiuzuru wakati mkataba unasigniwa tungemwelewa sasa hivi atoe mkataba kwa wananchi tuuoneHueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
Lini ulipinga huo mkataba mlioingia CCM na Wachina?Hueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
wewe ni mwongo tena umeitaja UK unaijua vizuri system ya hiyo au unataka kufurahisha genge la ma ccm wenzio hamnazo Serikari ingie mkataba halafu ufichwe no.10 usipelekwe bungeni thubutuuuu acha uongo wewe.Si kila jambo huwekwa hadharani, hata hizo serikali zilizoendelea za UK, America and his allies zinaendeshwa kwa usiri, usiri hauepukiki katika kuendesha serikali, kinachotakiwa ni kwa viongozi kutanguliza maslahi ya nchi kwanza kabla ya kitu chochote kile
Kifupi CCM imechoka na imeoza!!!!!Hueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
Unajua Mungu ni very advanced, kila mtu anauamini sana ubongo wake kama huyo anaeamini Rais angeyaacha yalivyo na hapaswi kupongezwaHueleweki, kwahiyo ulitaka Rais aache Kama ilivyo kwa kua nae ni ccm?
Wewe laumu, sisi tunapongeza hatua hiyo aliochukua rais atokanae na ccm
Hahaa.. watz tupelekwe kwenye 'Museum of Human History', tuwe katika maonesho, kama binadam wenye akili ndogo sana..WaTZ inafaa tuingizwe kwenye historia kama taifa la watu wa aina yake;
- Tunaambiwa Ccm ni ile ile.
- Kupitia ccm tunaambiwa tumeibiwa sana havielezeki.
- Tuliingizwa mikataba ya kijinga mmno.
- Tutaisoma namba.
- Tumenyimwa katiba mpya ingeyozuia madudu mengi.
Lakini bado tunaitetea na kuipigia vigelegele na tunaichagua kwa kishindo tena siyo na wajinga pekee bali hata wasomi.
Hii ndiyo TZ ya hayati mwl. Nyerere.
Kwenu wanabodi!
Tangu Rais avunje mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mkataba mbovu ambao tungeishia kuona tunaliuza Taifa kwa wachina basipo kujua Lakin basi kuna ukweli ambao unafichwa,unafichwa kwa kile kinachoitwa Uzalendo wa Mh.Rais!
Hapana huu ukweli nilazima usemwe hatakama unauma,ukweli wenyewe mpaka tumefikia hatua yakuingia hiyo mikataba mibovu yote nikutokana na Serikali za CCM!
Kwanini mnaacha kusema kua Serikali za Ccm ndio zimefanya hayo yote Bali mnaishia kumpongeza Rais kwakitu ambacho wakati kinapitishwa alikua miongoni mwa wale waliokipitisha??.
Hapana nitusema waziwazi CCM inalihujumu Taifa!..Ningekua mstari wa mbele kumpongeza Rais kama hiyo mikataba iliingiwa na Serikali za Upinzani!..lakin la hasha ni CCM wenyewe kwann tuwapongeze?
Je, nimangapi yapo nyuma ya pazia tusioyajua yenye madudu kama haya?kwahili La Bandari bado mnaimani na ujenzi wa SGR?
Bado mnaimani na ujenzi Stiglers Gorge?Bado mnaimani na ununuzi wa Mandege tena kwa Cash? Bado mnaimani na ujenzi wa uwanja wa ndege kule Chato?
Yapo mengi yakutafakari kuliko kupongeza hili tatizo walio lisababisha wenyewe..!
Wakipaza Sauti wapinzani kuhoji utasikia wametumwa na MABEBERU,wakitokea watu kuhoji wanatekwa na kuambiwa sio watanzania au ndio kusema ni collective Responsibility kwamba wakti ni Waziri tena wa Ujenzi aliamua kukaa kimya nakulipitisha hili kwavile hakua na nguvu zaidi ya Bosi wake JK?
Hapana nimeshindwa kuelewa kabsa.
Nawasilisha Hoja!