Ukweli ni kwamba, wote tunachepuka

kama ni ukweli,basi ukimwi haupo,haรญwezekani gesti zinajaa watu wanafanya zinร a kila siku halafu tusiwe tumekufa kwa ukimwi,no way
 
NNA WIVU SANA NA MKE WANGU
IMEFIKA HATUA KILA BAADA YA LISAA MOJA NAMPIGIA SIMU KUJUA KAMA YUPO NYUMBANI

JE NI NJIA SAHIHI?
IF NOT NIPENI MBINU

N:B NNA WIVU MPK NAHISI KUPAGAWA
 
Kabla ya kuoa/ kuolewa umekua ukilala na wanaume/ wanawake kwa odadi kubwa tu. Ni Nini kinakuzuia kuendelea na njia hiyo baada ya ndoa?
 
SIku zote mtu akiwa anafanya jambo huwa anaamini kila mtu anafanya hivyo, au anapaswa kufanya hivyo.

Anahisi kama hufanyi kam yeye basi wewe lofa fulani hivi. Wewe kuwa mchepukaji sio evidence ya kuprove assumption yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ