Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,056
- 12,912
Mimi sichepuki kabisa natembea na mdogo wake na wafe anayesoma mwaka wa pili hapo UDOMWanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.
Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.
Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.
Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?
Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?
Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?
Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
Mimi sichepuki na sina huo mpango. Chepuka kivyako na uwe tayari kwa mavuno!Wanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.
Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.
Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.
Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?
Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?
Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?
Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
Uko sahihi sema tu wengi huwa hatuko tayari kukiri madhaifu yetu. Viongozi wa dini aslimia kubwa ni wazinzi wa kutupwa japo kwenye nyumba za ibada kujifanya kuwa watakatifuWanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.
Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.
Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.
Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?
Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?
Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?
Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
Kuchepuka sio dili kuna magonjwa tuwe makini sanaUko sahihi sema tu wengi huwa hatuko tayari kukiri madhaifu yetu. Viongozi wa dini aslimia kubwa ni wazinzi wa kutupwa japo kwenye nyumba za ibada kujifanya kuwa watakatifu
Usiogope sababu ya magonjwa bali uwe mwadilifu toka rohoni kwani hata wasiochepuka huugua na kufaKuchepuka sio dili kuna magonjwa tuwe makini sana
Fake newsWanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.