Madhara ya kujichua au kusagana kwa wanawake

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,473
Na PHARMACIST SOLOMON

MADHARAKWA MWANAMKE

Mwanamke hujichua kwa kutumia mikono yake au kifaa chochote atakachoweza kukiingiza ukeni au kujisugulia, ili mradi tu kisimuumize ,na kimsisimue

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto:

1. Inaharibu kizazi, kutokana na maambukizi ya bacteria na fungus mara kwa mara, watakao sambaa hadi kufikia kizazi. Mfano, PID

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko Mwenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

11. Kupoteza kumbukumbu kwa kiwango kikubwa sana, na hivyo husahau sana, na kichwaa kuuma mara kwa mara.


NB
Husababisha uke kutoa harufu mbaya ambayo anayejichua hua anaona ya kawaida ila kwa mwanaume hua ni harufu kali na chafu

2. Unafanya mwanamke awe malaya wa ngono maana huweza kumfanya mwanamke ajichue au adagane mara tatu kwa siku hadi mara saba jambo ambalo humfanya asiwe na nguvu ya mwili na kupata ugonjwa wa maumivu ya kichwa

3.. Hupunguza uwezo wa kufikiri kisaikolojia mwanamke anayefanya kujichua au kusagana kadari siku zinavyokwenda hua hana uwezo wa kufikri afya huzoofu anazidi kua model na hawezi kufiklia kitu kingine zaidi ya kuwaza hivyo tu kujisugua au kusagana

4. Kiroho na kiimani roho hii akiendelea nayo hujengeka na kufanya iwe ndani yake hivyo anaweza kupata watoto wana tamaa ya kua nao wasagaji au ma shoga kama ni wakiume hivyo inaharibu kabisa generation /uzao wa msagaji au mpiga punyeto huyo

5. Hupelekea uke kujinyegeza wenyewe yaani anaweza akawa anatembea huku ute ute na maji maji yakawa yanajitokea menyewe tu ukeni na kuufanya uke kua tepetepe na kupata fangazi..

6. Kile kitendo cha kusagana huwa si rahisi kufutia akilini mwake mtu huu akikubuka ilivyo kwao wakike na wakike kufanyana hivyo mtu huyu anaweza akajiona mkosaji asiye sitahili kua kwenye kundi la wema maana inakua ni dhambi ambayo inapelekea mtu huyu kama akijulikana anaweza kujiua au kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kuificha aibu yake
 
Mambo yalivyo mengi na muda ulivyo mchache unapataje muda wa kujikunja mwenyewe?

Punyeto pia huharibu saikolojia yako mbele za malaika na wanadamu
 
πŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎ Huku hakunihusu ngoja nirudi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ni wewe ulikuwa unatumia fyekero wallah na vinyuzi vyako vya kupondea wanawake unakimbia kivuli chako cc mods kazi nzuri.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwenyewe sjaelewa dhana ya kututag mie sijichui kabisaaa naanzaje na wakati nina mume ananitosheleza mahitaji yangu kimwili na akili na ni post ya pili hii naona nimetagiwa
Njoo uone wameziunga Id huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio naona nashangaa kutagiwa tagiwa post sielew kaumbuka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ni wewe ulikuwa unatumia fyekero wallah na vinyuzi vyako vya kupondea wanawake unakimbia kivuli chako cc mods kazi nzuri.
 
Vidole mnavyotushika shika kule chini kutafuta maji maji au utelezi si kitu icho icho sa kuna utofauti gani ety
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom