Sio kweli abadani
Mavi yao, mwalimu huwa anaukanyaga Kwa mguu huwa hatumii bodabodaKwani hao boda boda wamezitoa wapi kama maboss wao sio walimu hao hao
Kwani yazungumzwayo niyauongo?Mkuu mpwayungu village hivi walimu walikufanyia jambo gani mpaka leo hii unawaandama tu katk thread zako.
Rejea ile ya thread uliowananga kuwa wamejazana ATM ya NMB Iringa mjini siku mshahara ulipotoka.
Shida ndo iko apa kwa kuwa watu wanalipwa vizur wanaamin kwmb kuna vipato mtu uez kusavaivu... kuna raia wanalipwa buku tatu per day na maisha yanaendaNimesema watu 5,sasa haitoshi kiaje? Kwa hiyo walinzi wanaopata laki Moja wanaendeshaje familia?
Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja .
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Uhuuhuhuhu pole sanaMleta mada Ni jobless,,,Ila Ana bachelor yaHuman resource,,,,Sasa alitagert kukaoa ka madam flan HIV ili kachukue mkopo afanye biashara!.. bahat mbaya kaka mtolea nje kakaolewa na ticha mwenzake,,,from that moment Ana wamind Sana walimu
Mavi yaoSijui ni walimu gani waliokuzunguka. Kuna walimu wanapokea mil 2.5 kwa mwezi.
Hhhahaha well saidKunakitu kimoja watu huwa wanakosea, ku generelize Mambo. Kwa kifupi ni hv Kila kazi wapo wachache wanaofaidika na wengi wasindikizaji. Katika hizi hizi ajira tunazozirau wapo wachache wanapiga sana na hata umwambie nn awezi kukubali kuwaza hata kuiacha kazi akajiajiri lakini kwa hizohizo Ajira wengi wanapigika vibaya mno. Hata kwa boda boda hvyo hvyo wachache sana wanafaidi na wengi wao wanaganga njaa tu. Kwenye kilimo wengi wasindikizaji ila wachache huwaambii kuhusu kilimo. Hata biashara wengi hata ikifika wakati wa kulipa Kodi la pango mpk wakakope lakini wapo wachache wanalamba asali vibaya mno. Kwa hiyo msiwajaze watu upepo. Enzi za motivation speaker zilishapitwa na wakati.
Weee sema kweliMleta mada ni mtu mmoja mjinga sana. Mbaya zaidi hajijui kama yeye ni mjinga
Wanahonga sana liftBodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.
Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.
Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
[/CENTER]
Wacha weeWanahonga sana lift
Mhhh! Walimu wa vyuo vikuu labda tena unazungumzia malecutrer PHd kabisaSijui ni walimu gani waliokuzunguka. Kuna walimu wanapokea mil 2.5 kwa mwezi.
Kuna tofauti kubwa sn kati ya teacher, tutor na lecturer mkuuMhhh! Walimu wa vyuo vikuu labda tena unazungumzia malecutrer PHd kabisa