Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 350
Ukweli si "kitu". Ukweli umo nafsini mwako.Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia?
Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni mafundisho au ni elimu? Au je, ukweli ni taarifa au ni habari? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni imani au ni matumaini? Au je, ukweli ni upendo au ni huruma? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuzaliwa au ni kuishi? Au je, ukweli ni kuugua au ni kufa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kujua au ni kufahamu? Au je, ukweli ni kuelewa au ni kujifunza? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuongea au ni kusema? Au je, ukweli ni kusimulia au ni kuhadithia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuvumbua au ni kugundua? Au je, ukweli ni fikara au ni tafakuri? Ukweli ni kitu ganii? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni Kanisa au ukweli ni madhehebu? ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni vikao au ukweli ni maazimio? Au je, ukweli ni taratibu, au ni sheria au ni kanuni? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kipi; ni kile kinachothibitika au ni kile kinachodhihirika? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni nadharia au ukweli ni vitendo? Au je, ukweli ni mawazo au ni maoni? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni usanifu, ni ujuzi, ni utalaamu, ni ubunifu, ni uzoefu, ni taaluma au ni maarifa? Au je, ukweli ni maisha au ni kuishi? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni mwili unaonekana au ni akili isio onekana; wala kushikika? Au je, ukweli ni nguvu au ni nishati? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi, ni ndoa au ni tendo la ndoa? Au je, ukweli ni mapenzi au ni ngono? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni ulimwengu au ni mbingu? Au ukweli ni asili au ni uhalisia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni wema au ni uzuri? Au je, ukweli ni maadili au ni miiko? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni mlango wa kushoto au ni mlango wa kulia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni mabadiliko au ni mageuzi? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni ufanisi au ni unafuu? Au ukweli ni ubora? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi; uko nyumbani, au uko shuleni? Au je, ukweli uko Kanisani au uko msikitini; au uko kwenye jamii? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi: uko kwenye ubongo au uko kwenye milango mitano ya fahamu: masikio, pua, macho, ulimi au ngozi? Au je, ukweli uko kwenye viungo vingine vya mwili? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi: uko kwa watawala au viongozi; au uko kwa watawaliwa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni maendeleo au ni mafanikio? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni misemezano iliyopo ndani ya m2Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?

Ukweli ni roho au ukweli ni nafsi? Roho iko wapi? Nafsi iko wapi?
Ukweli ni upi: ni maendeleo au ni mafanikio? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Kama ukweli si kitu ni nini? Uko wapi?Ukweli si "kitu". Ukweli umo nafsini mwako.
Kuna watu wanajidanganya wao wenyeweUkweli si "kitu". Ukweli umo nafsini mwako.
Ukiielewa nafsi yako utauelewa ukweli.
Wewe ni nani?Kama ukweli si kitu ni nini? Uko wapi?
Kama ukweli umo nafsini, nafsi ni nini? Kwanini nafsi
si kitu?
Kwanini uwe nafsini na si popote?
Kwan ww ni nani?Kama ukweli si kitu ni nini? Uko wapi?
Kama ukweli umo nafsini, nafsi ni nini? Kwanini nafsi
si kitu?
Kwanini uwe nafsini na si popote?
Ikiwa umesoma nilichoandika ukaelewa usingeandika ulivyoandika.Umekopy hapa:
Unazungumzia kitu gani kati ya hivi: moyo au akili (nafsi) au utambuzi yaani wito na mamlaka?Wewe ni nani?
Kwani nafsi ni nini ?Ukweli si "kitu". Ukweli umo nafsini mwako.
Ukiielewa nafsi yako utauelewa ukweli.
Swali hili ni juu ya moyo au akili? Au ni juu ya wito au mamlaka?Kwan ww ni nani?
Ukweli ni uhalisia.Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia?
Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni mafundisho au ni elimu? Au je, ukweli ni taarifa au ni habari? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni imani au ni matumaini? Au je, ukweli ni upendo au ni huruma? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuzaliwa au ni kuishi? Au je, ukweli ni kuugua au ni kufa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kujua au ni kufahamu? Au je, ukweli ni kuelewa au ni kujifunza? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuongea au ni kusema? Au je, ukweli ni kusimulia au ni kuhadithia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kuvumbua au ni kugundua? Au je, ukweli ni fikara au ni tafakuri? Ukweli ni kitu ganii? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni Kanisa au ukweli ni madhehebu? ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni vikao au ukweli ni maazimio? Au je, ukweli ni taratibu, au ni sheria au ni kanuni? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kipi; ni kile kinachothibitika au ni kile kinachodhihirika? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni nadharia au ukweli ni vitendo? Au je, ukweli ni mawazo au ni maoni? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni usanifu, ni ujuzi, ni utalaamu, ni ubunifu, ni uzoefu, ni taaluma au ni maarifa? Au je, ukweli ni maisha au ni kuishi? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni mwili unaonekana au ni akili isio onekana; wala kushikika? Au je, ukweli ni nguvu au ni nishati? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi, ni ndoa au ni tendo la ndoa? Au je, ukweli ni mapenzi au ni ngono? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni ulimwengu au ni mbingu? Au ukweli ni asili au ni uhalisia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni wema au ni uzuri? Au je, ukweli ni maadili au ni miiko? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni mlango wa kushoto au ni mlango wa kulia? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni mabadiliko au ni mageuzi? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni ufanisi au ni unafuu? Au ukweli ni ubora? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi; uko nyumbani, au uko shuleni? Au je, ukweli uko Kanisani au uko msikitini; au uko kwenye jamii? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi: uko kwenye ubongo au uko kwenye milango mitano ya fahamu: masikio, pua, macho, ulimi au ngozi? Au je, ukweli uko kwenye viungo vingine vya mwili? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli uko wapi: uko kwa watawala au viongozi; au uko kwa watawaliwa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni roho au ukweli ni nafsi? Roho iko wapi? Nafsi iko wapi? Ukweli ni kitu gani?
Ukweli ni furaha au ni amani? Au je, ukweli ni utulivu au ni usikivu; au ni unyenyekevu? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi; ni kile kisichosababisha uchungu au ni kile kisichosababisha uharibifu? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kitu gani? Ni usawa au ni haki? Ni wajibu au ni majukumu? Ukweli uko wapi?
Ukweli ni upi: ni maendeleo au ni mafanikio? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Shukrani sana mkuu.Ukweli si "kitu". Ukweli umo nafsini mwako.
Ukiielewa nafsi yako utauelewa ukweli.