Ukweli ni kitu gani?

Mkuu natofautiana na wewe

Watu wengi kwenye huu uzi wanachanganya sana UKWELI na IMANI

Ukweli hauwezi kuwa ni IMANI
Imani ni Imani tu

Ukweli ni uhalisia wa jinsi kitu/jambo lilivyo………. Ukweli huwa ni mmoja tu kwa jambo mmoja

Imani ni kukubali jambo bila kujua ukweli wake………… mtu anakubali tu Jua au Yesu au Ngo’mbe ni Mungu na haujui UKWELI ila ameamua KUAMINI

Imani na Ukweli ni vitu viwili tofauti…….. HAIWEZEKANI ikawa ni KWELI Mbuzi, Yesu, Ngo’mbe, Radi, Jua, Mwezi nk nk vyote ni KWELI

Sifa kuu ya UKWELI ni kwamba Ukweli huwa ni mmoja tu kwa jambo moja
 
Kama ukweli ni uhalisia wa jinsi kitu au jambo lilivyo basi hoja yako inamashiko.
 
Ukweli hauwi kweli kwa sababu watu wengi wanaamini, unakuwa kweli kwa sababu unaendana na uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…