Ukweli ni Huu: Kwani Wanataka Damu ya Nchi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,377
Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu.

Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii hapa...
20250502_173554.jpg

Hakika kama nchi tumefika hatua mbaya sana, yaani taasisi yenye mamlaka ya kumlinda raia ndiyo inatoa taarifa kwamba haihusiki na bado inashindwa kuchukua hatua stahiki.

Juzi niliona Padre Dr. Charles baada ya tukio lile haikupita 24hrs jeshi likatoa statement.

Nadhani itakuwa sawa kwamba, kinachotafutwa hivi sasa ni umwagaji mkubwa wa damu nchi nzima, labda muda wa kulipa bill umefika, WHY?.

BECAUSE; hiki kinachoendelea nchini kwa jeshi kukanusha kwa watu kuvamia raia na wengine wanatoa vitambulisho kwamba ni maafisa usalama kisha wanaondika na watu siyo sahihi.

Kule Musoma Mara, kijana aliyetekwa akiwa chumba cha mazoezi na wenzake, polisi walifika na kutoa vitambulisho ila, jeshi la polisi lilikataa pia na hata ndg wa yule kijana walipofika pilisi wakajibiwa kwa lugha isiyo ya staha, kwamba "... mmepitia kwwnza mochwari ..."

Jamani, najua mzee Jakaya na wazee wengine mlio litumikia taifa hili kwa sasa hamuwezi kuongea lolote sababu zama zenu hazipo tena, mmebaki kuwa viongozi kutumwa nje ya nchi kuwalilisha tu 😢!.

Ika narudi hapa Je; mna nia ya kunwaga damu kwa kutaka nchi ilipuke au mnadaiwa so mida wa kulipa umefika?.
 
Kumbe ndivyo wanavyotoaga kafara?

Kuwachochea watu walipuke kwa hasira halafu polisi waingie kati kuwabomoa ubongo na vinyeo? Midamu mwaaaahhh!

It is a master game! Amazing! Hata polisi wenyewe labda hawaelewi kinachofanyika kiuhalisia wanaenda tu kama manyumbu!

Waje niwafundishe kutoa KAFARA za sungura waachane na hayo matambiko ya MAJINNI YA KIARABU yana gubu sana.

Cc: Nyani Ngabu Mshana Jr DR Mambo Jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI chiembe Lucas Mwashambwa
 
Kumbe ndivyo wanavyotoaga kafara?

Kuwachochea watu walipuke kwa hasira halafu polisi waingie kati kuwabomoa ubongo na vinyeo? Midamu mwaaaahhh!

It is a master game! Amazing! Hata polisi wenyewe labda hawaelewi kinachofanyika kiuhalisia wanaenda tu kama manyumbu!
Wewe tupo pamoja kwenye hili.

Hata jeshi la polisi hawawezi kuelewa kinachowwza kutokea, maana kwa wakati huu wanahusika kupandikiza chuki wananchi kwa serikali na viongozi.

Kupiga, kuteka, kuumiza na kuua wasidhani ndg, watoto, majirani nk wa waty waliopata madhara wataipenda CCM? NO!.

Hivyo bomu linaloundwa la kumwaga damu nchi nzima ni la wote, tuendelee kusubiri.
 
Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu.

Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii hapa...
View attachment 3322832

Hakika kama nchi tumefika hatua mbaya sana, yaani taasisi yenye mamlaka ya kumlinda raia ndiyo inatoa taarifa kwamba haihusiki na bado inashindwa kuchukua hatua stahiki.

Juzi niliona Padre Dr. Charles baada ya tukio lile haikupita 24hrs jeshi likatoa statement.

Nadhani itakuwa sawa kwamba, kinachotafutwa hivi sasa ni umwagaji mkubwa wa damu nchi nzima, labda muda wa kulipa bill umefika, WHY?.

BECAUSE; hiki kinachoendelea nchini kwa jeshi kukanusha kwa watu kuvamia raia na wengine wanatoa vitambulisho kwamba ni maafisa usalama kisha wanaondika na watu siyo sahihi.

Kule Musoma Mara, kijana aliyetekwa akiwa chumba cha mazoezi na wenzake, polisi walifika na kutoa vitambulisho ila, jeshi la polisi lilikataa pia na hata ndg wa yule kijana walipofika pilisi wakajibiwa kwa lugha isiyo ya staha, kwamba "... mmepitia kwwnza mochwari ..."

Jamani, najua mzee Jakaya na wazee wengine mlio litumikia taifa hili kwa sasa hamuwezi kuongea lolote sababu zama zenu hazipo tena, mmebaki kuwa viongozi kutumwa nje ya nchi kuwalilisha tu 😢!.

Ika narudi hapa Je; mna nia ya kunwaga damu kwa kutaka nchi ilipuke au mnadaiwa so mida wa kulipa umefika?.
Mwacheni bibi mkubwa aongoze nchi,akina mama ni watu wa details mwacheni ataleta shida nakumbuka wakati wa kukodisha Bandari.aliweka pamba masikioni kama hivi na hakuna aliesema fyoko hatimae mwenyekiti wa katiba katufikia.
 
Back
Top Bottom