Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Leo hii Kutana na mtu akuambie ana magonjwa ya kurithi kama epilepsy (kifafa), niambie kama utaweka kambi hapo...

Mambo mengine hayafai masikioni, japo ni ukweli.
Kaka nenda nae kwa daktari anaemtibu umuulize maswali kama; kwa afya yake kuanza familia itawezekana? Mahitaji yake ya kila siku. Haya ni kama umempenda.
 
Kaka nenda nae kwa daktari anaemtibu umuulize maswali kama; kwa afya yake kuanza familia itawezekana? Mahitaji yake ya kila siku. Haya ni kama umempenda.
Epilepsy? Nah asante dada...

Hata hivyo nimesemea kwa ujumla wake tu, ukweli mwingine ni mbaya, hauvumiliki. Siwezi kukubali damu yangu iingie magonjwa ya kurithi.
 
Kaka nenda nae kwa daktari anaemtibu umuulize maswali kama; kwa afya yake kuanza familia itawezekana? Mahitaji yake ya kila siku. Haya ni kama umempenda.
Wewe unaweza kuwa na mahusiano na Mwanaume ambaye kabla ya kuwa na wewe anakueleza alikuaga shoga labda?
 
Epilepsy? Nah asante dada...

Hata hivyo nimesemea kwa ujumla wake tu, ukweli mwingine ni mbaya, hauvumiliki. Siwezi kukubali damu yangu iingie magonjwa ya kurithi.
Kakaake ukijua baada ya kuoa je? Maana hutaki kuambiwa ukweli.
 
Mkuu haikua kwa ubaya,ila kuna watu ambao wamepitia mambo ambayo ni mazito haswa,kuwa naye inahitaji ujasiri wa ziada!
Hadi amekwambia ujue the past is the past for her..
Sometimes people confess to be free na ili wasirudie waliyotenda
 
She is on treatment but sometimes she gets mood swings.
oky i get you now, pls it takes time to heal from mental illness, and some if they took long to be noticed and cured it can never heal completely, but the conditions of the patient are kept at least under control at least 95%, so thats normal may God see your freands thro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom