Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,356
Katika maisha kuna changamoto nyingi tunapitia. Bahati nzuri ni kuwa kuna maendeleo ya sayansi na tekinelojia inasaidia maisha yaendelee. Wengine walipata mimba za utotoni lakini kwa msaada wa familia na jamii waliweza kuendelea na shule na sasa hivi wana ujuzi unawawaezesha kujitegemea, wengine wana magonjwa sugu lakini yako controlled na madawa na wanaweza kuendelea na maisha. Wengine wali pata majanga ya picha zao za ngono kusambaa kwenye mitandao ya kijamii au mpenzi wa zamani alizihifadhi.

Pale unapokutana na mpenzi mpya, mpaka atake namba yako ya simu au kuomba akutoe kwa chakula ni lazima kuna aliyovutiwa na wewe. Pale pale mwanzo wa kujuana, ukimuona muelekeo wake na umeanza kumuamini, mueleze yale ya muhimu ambayo hayafichiki katika maisha yako kama hayo niliyoyataja hapo juu.

Unavyo yaacha itakuuia vigumu kuyaeleza huko mbele. Fikiria mtu anajipanga akatoe mahari kwenu ndiyo anajua kuwa unawatoto wawili, una HIV au cancer, anaonyeshwa picha zako za ngono za miaka 5-10 iliyopita. Huyu mtu hatakuamini tena. Ni wachache wanaoweza kukuelewa.

Hakuna aliyekamilika lakini mapenzi yanahitaji watu wawili wanaoweza ku compromise hitilafu zao na kuishi pamoja kwa amani.
 
Sio kila kitu cha kumueleza mtu kuna vngne ukiongea utaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmh duniani hakuna jema.mtu anapoanza mahusiano aangalir wakati uliopo ukisema ufukie makaburi kuna watu historia zao zanuka kama lazaro kaburin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Mkuu walishamdukua? Tiririka.

Kuna mdada alishawahi kunieleza ukweli yote aliyopitia kabla ya kuwa na mimi!

Japo alifanya kwa nia njema kabisa lakini baada ya hapo nilishindwa kuendelea naye maana yalikua mazito haswa!
 
Suala la magonjwa sugu hakuna atakayevumilia,ukisema tu una kansa,sikio/jicho moja halifanyi kazi,au kwenu kuna asili ya ulemavu n.k hapo uhusiano lazima uvunjike..
 
Bibie kakosea herufi chache kichwa cha habari ila ukiwa makini utaelewa alikusudia nini.

Katika mambo yanayomkumba ninaehusiana nae binafsi huwa kuna vitu ninavyoweza kuvikabili bila uwoga wala wasiwasi. Swala la magonjwa hasa yale ya kurithi au ulemavu binafsi huwa nina neno moja juu ya hili. Hakuna mwenye Guarantee na Afya yako au Viungo vya mwili wako. Ila kwenye kupiga picha za utupu, hapana kwa kweli, hili nilishashindwa zamani mno kulihimili. Suala la kuwa na mtoto kwangu sio kikwazo ikiwa tu nitakaempenda tayari ana mtoto maana najua huyu atakuwa dada au kaka wa mwanangu.
 
Picha za ngono ni norma sana. Lakini kuna wanaokimbia magonjwa pia. Akiondoka jua hukupangiwa lakini akijua baadae uhusiano utakuwa umejengwa kwenye misingi ya uongo.
 
Kuna kajambo nitakuja kukasema hapa tym si nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom