Wanawake wanaweza kukuchukia kwa sababu uko busy sana na kazi na vilevile wakakuchukia sababu huna kazi
Unaweza ukawa na kibunda/kipato kingi cha kumuhudumia atakavyo lakini akaenda 'akaliwa' na shamba boy kwa sababu wewe ulikuwa busy kusaka hela muda huo ambao yeye anakuhitaji
Mapenzi hayana formula mkuu, wapo wakubwa wenye hela zao lakini wanachapiwa/wanagongewa vizuri tu na vijana wasio na hela