Ukweli mchungu: Unakuja au hauji?

Ukweli mchungu: Unakuja au hauji?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,398
Utachati naye kila muda. Utampigia kila siku na kumwambia nakupenda kila wakati lakini kuonana naye atakuzungusha sana tu.

Ila kuna mwenzako huko anauliza unakuja au hauji.

Soma Tena Kwa Mara ya pili

downloadfile-3.jpg
 
Utachati naye kila muda
Utampigia kila siku na kumwambia nakupenda kila wakati lakini kuonana naye atakuzungusha sana tu.

Ila kuna mwenzako huko anauliza unakuja au hauji.

Soma Tena Kwa Mara ya pili
Hiyo picha mlikuwa wapi?
 
Kwa kuongezea tu mkuu......utampaleke saloon kusuka then ata reply thanks baby/dear then utamsifia amependeza then utamnunulia latest clothes atareply thanks baby then utamsifia amependeza utafanya kila kitu then utamsifia amependeza utafinance more ila mwisho wa siku ataishia kukupa utelezi tu na muda huo huo kuna mtu anapata utelezi wa vocha ya jero.......
ahsanten....
Powerd by kataa ndoa campaign
 
Hiyo msg huwa inatumwa kipindi hamu ziko juu sana yani above the sea level "unakuja au hauji"
 
Sarawali yako nzuri saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa
 
unaweka vocha na hakuambii ameipata lakin kunaye mwamba anamaliza hilo salio

unampangishia chumba na kila kitu unamuekea halaf kunaye boya anakuja kuchafua mashuka yako for free ride au kwa chips zege

unampangishia mjengo na kumhudumia halaf anasuuzika na fundi bomba

poleni sana wanaume.
 
Back
Top Bottom