Ukweli Mchungu: Sisi wa kuanzia 40, madogo wametukata sana kipato

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,278
5,519
Wakuu salaam!

Nimeangalia sana trend ya hawa vijana from 20 to 35 aisee wanaenda vizuri sana kwenye kutengeneza hela. Yaani wanatengeneza hela kwelinaweza kusema kuliko sisi wa kuanzia 40 kwenda mbele.

Wengi..Hawatumii nguvu kabisa. Wanatumia sana Akili.

Wanabase sana online, sana na hela wanapata humo humo.

Hata wakiwa mtaani kazi zao nyingi ni za kutumia akili mno nyingine hata majibu huezi jua (angalia hawa wa Iphone).

Akiingia Kariakoo ndio hutamkamata kabisa...wanaagiza containers kabisa jiulize za nn sasa utacheka ufe, lkn cash anayomake balaa.

Nimefikiria sana hawa wa clearing and forwading ndio usiseme kabisa (ICON)...huko TRA ndio balaa.

Akiwa Bank humshiki kwa chochote.

Awe serikalini sasa na mnakaa mtaa mmoja aisee mi nachekigiii nakausha tu. Na hawaogopi hat ML wala. ES.

NB: Nafkiri kizazi chetu tulilelewa kimaadili sana au kiuwoga mtaniambia halafu pia sisi tumeshindwa kwenda na kasi ya technolojia, wao wanaitumia sana.

Tatizo lao sasa wengi ni malyfist kupindukia. Nenda huko kitambaa..kidimbwi. Tips unaeza jua Moet au Hennessy ni elf 22,500 tu wanakunywa kama maji nenda huko wavuvi na samaki unaeza jua remmy martin wanagaiwa bure, hizo crown na rumiona sasa wanapimp balaa.

Sijagusa hawa wa washua maana hao wanajulikana

Wakuu wenzangu tufanyaje? Au jua lishazama? Yaani sisi wametuachia Manual Labour tu!! Wanashinda ndani tu jioni ana kamilioni tayari mtu unaisotea 2weeks. Wengine mpaka ukope na unanyimwa.

Tusaidiane ka kweli in 5 years itakua kama wanawake walivyotuacha huku tunawaangalia na vicoba vyao tulivyokua tunavizarau.

NB sio ma Bro wote wamekatwa wengine wako safi sana na wanachowakata madogo ni uwekezaji...madogo wanaingiza hawawekezi kabisa.
 
Hizi, story hazina tofsuti na story za kilimo cha matikiti, kwenye makaratasi, utafanikiwa tu! There are lot of factors at play katika kufanikiwa.

Sio umri bro, Hizi, fulsa za kimtandso, zilizopo Leo, hazikuwepo 1998 to 2000+

Hakukuwa na smartphone, radio za Bluetooth, nk

Kupiga pesa Leo, ni mipsngo yako tu.
 
Madogo wa leo wapo mbali sana nilishawahi kusema hapa....Madogo wa leo wana vingi kichwani hata kama shule wamzingua .

Hata kingereza wanajitahidi japo shule wamezinguq ila mbili tatu wanajua mwanzo mwisho....Wazungu wanaamini kizazi kijacho ni bora kuliko kilichopo ila Africa wanaamini kweny watu wa zamani hata mizimu ya watu wa kale.

Ndio maana hata Musk anakuambia "kama hujafa kweny metervese ,bado hujafa kweny ulimwengu wa kweli "ina maana katika ulimwengu fikirishi kweny teknolojia ya metervese itakuwa ndio ulimwengu wa kweli na wa watu weny upep huko patakuwa na marobots
 
Hizi, story hazina tofsuti na story za kilimo cha matikiti, kwenye makaratasi, utafanikiwa tu! There are lot of factors at play katika kufanikiwa.

Sio umri bro, Hizi, fulsa za kimtandso, zilizopo Leo, hazikuwepo 1998 to 2000+

Hakukuwa na smartphone, radio za Bluetooth, nk

Kupiga pesa Leo, ni mipsngo yako tu.
Basi ww ndio hukunielewa..sijakataa kuna mahali nasema sisi Mabro tulishindwa kubadilika fasta kuendana na technolojia
 
Back
Top Bottom