GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,873
- 11,123
Siasa za Tanzania bila kupepesa macho zimeshikiliwa na watu wa vijijini na wao ndio wenye maamuzi juu ya nchi hii, Asilimia kubwa huko vijijini wao wapo bize na kazi za mashamba hawana muda na propaganda za mijini kuwa CCM ni chama kibaya. Mambo ya Rais mbabe au hatoi ajira wao kwao hayawahusu kwani wamezoea maisha yao ni yale yale na wameridhika na mfumo uliopo
Kwa upande wa upinzani mtaendelea kupata Credit kwa kundi dogo la wasomi na wenye uelewa waliopo mijini ambao hawana madhara kwenye Taifa hili kimaamuzi, Hivyo kuhuburi Rais mbaya hakutasaidia kitu kwani vijijini kwa sasa wanafurahi bora wote tukose, fukuza fukuza ya Rais wanafurahia vijijini sana
Kwa ushauri kuna kazi kubwa ya kuwaelimisha watu vijijini kuhusu Maisha na mifumo iliyopo kama mabadiliko yanahitajika ,la sivyo watu wanaolalamika Rais mbaya, hatoi ajira, anabana uhuru wa habari yanaishia mjini huko vijijini wanafurahi bora matajiri wawe maskini kama wao