Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

Kweli hata mungu hatoi uongozi kwa wala rushwa wasiokuwa na uadilifu.



Ingekua hivyo CCM ingekwishilia mbali na viongozi wake na maaskofu wala rushwa.

Mungu anamwinua kiongozi sio kwa uadilifu bali kwa mkusudi maalum.Ingekua hiyo Hitler,Gadaff,Sadam, na wengine wengi wasingepata uongozi.
Mungu anaweza akamwinua kiongizi kwa ajili ya vita au kuliangusha taifa lililokufuru kwa majivuno.
Hata Farao aliwekwa na Mungu lakini kwa makusudi ya kuonyesha nguvu zake kuu.
Mfalme Sauli pia aliwekwa na Mungu tena aliitwa mpakwa mafuta lakini kwa makusudi ya kuwaonyesha wanadamu jinsi watawala wa kibinadam walivyo mizigo na viburi wawapo madarakani.

Kiongozi bora kwa Mungu ni yule anayesikiliza kilio cha wanyonge na kuwaadhibu wale wanaonyanyasa na kudhulumu waanyonge.
Hata kama hutoi takrima au rushwa kama huwezi kusimamia haki ya mtu mmoja mmoja basi kilio cha wanyonge kitafika kwa Mungu aliyekuweka madarakani na utaona nchi inayumba kwenye utawala wako.

Kuna watu ndani ya CCM kwa nje hawana kashfa za rushwa lakini ndio wanaofadhili na kutengeneza mbinu za kuua wanaharakati wa kutetea haki na uhuru.Mfano Sokoine,Kolimba,Chacha wangwe,Mvungi,Mgimwa n.k.
Huu ndio ufisadi mbaya zaidi kwani unadumaza na kutisha fikra za watu.
 
Nawaonea huruma watanzania wajinga wanaodanganyika kuwa Lowassa ni fisadi. Huyu aliyemaliza miaka kumi na mlisema ni chaguo la Mungu mmeacha kulalamika? jamani nini sasa kitawafaa. mwadilifu ni fisadi, fisadi mwadilifu Je si mnatafuta majanga?KAMA MUNGU AMEPANGA LOWASSA KUWA RAISI ATAKUWA TU. KAMA HAJAPANGA HAWEZI KUWA. ILA wanafikiwanafiki hawazuia mpango wa Mungu kwa nchi hii.
 

Kwa hiyo mpango wa Mungu kwa nchi hii ni Lowasa kuwa rais??
 
Watu wamepanic sana. Hizi team lowasa vz team membe zitawaua na pressure bureeee!
 

itapendeza sana wakimtosa ili ccm ipasuke iwe rahisi kwa opposition kuchukua dola
 
Lowasa hawezi kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM labda huko UKAWA anakopanga kwenda

wewe kama nan unasema hivyo?...
yan wewe kuwa kidumu wa rz1 unaona ccm ni mali jenu? ni nan wa kumnyooshea kidole Lowassa ndani ya ccm?.... mkuu zawaidi uliyo pewa ya ubunge wa Bunge la katiba isikufanye uone tanzania wote ni wajinga, kwanza huku derseve! trust me.
 

Kama vp lowasa aongee na ukawa wampe uwaziri mkuu
 


Number 17 anaonekana yupo fit kimchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…