Ukweli mchungu kwa wafuasi wa Trump, Hillary kashashinda uchaguzi

Tuliandika sana sisi, tukaonekana ****** na tukaitwa warusi.
Cc Bukyanagandi MALCOM LUMUMBA , Elungata , Nguruvi3
Mkuu...
Nakumbuka sana...
Ilikuwa kila nikipita International forum,nikikuta habari kuhusu UCHAGUZI wa Marekani,basi lazima niifungue nisome...
Nakumbuka uchambuzi wako jinsi ulivyokuwa ukipingwa na wanaojifanya kuijua Marekani kuliko wengine...
Lakini leo wamepata JIBU nani alikuwa sahihi...
Kukaa karibu na MAHAKAMA si kuijua SHERIA..!
 
Nashukuru mkuu George Betram kwamba pamoja na wengi kupuuza lakini mpo wachache ambao mlitufuatilia na kuyaweka vichwani na mioyoni yale tuliyotaandika. Hadithi ya 'Akana ka Nsungu' naona bado ina nguvu kubwa katika zama hizi.
 
Mkuu...
Nakumbuka sana...
Ilikuwa kila nikipita International forum,nikikuta habari kuhusu UCHAGUZI wa Marekani,basi lazima niifungue nisome...
Nakumbuka uchambuzi wako jinsi ulivyokuwa ukipingwa na wanaojifanya kuijua Marekani kuliko wengine...
Lakini leo wamepata JIBU nani alikuwa sahihi...
Kukaa karibu na MAHAKAMA si kuijua SHERIA..!
By the way mie ni mmojawapo tulioitwa hivo...
Nilichikiona ni kwmba wamarekani walikuwa wameshachoka ni siasa za riwaya..maneno mengi nothing changes or materialises..
Hebu Trump anakuwa raisi aikiwa na majority ya mabunge yote..
Pili establishment wanachosha..tazama sura zilezile.family flaniflani au makundi flani ya watu.I still believe Dems wangemweka babu Sanders wangechukua kirahisi..
Kwa trump na mama ilikuwa lesser of two evils..
 
Alikuwa anafatilia kura za maoni akadhani ndo kura halisi bila kujua media zinapewa hela, come on.
 
Exactly watu wanafikiri kushinda urais wa marekani ni hivi hivi tu bila kushinda electoral college votes hakuna mahali hataenda na mpaka sasa anaitaji kama kura 90 hivi kwenye hiyo poll ndani ya siku 4
Nilikutahadharisha mwanzoni kabisa mwa uzi ,
 
Sijawahi kumpenda Gadaff hata siku moja.ikumbukwe Libya chini ya utawala wake walileta majeshi Uganda kipindi cha utawala wa Idd Aman na kuteketeza maisha ya raia wengi Kagera.
Kiko wapi Leo wenyewe wenye taifa lao wamechoka
Na kuchukuwa mamuzi mazito yenye busara na nchi yao....
 
Back
Top Bottom