Ukweli mchungu kwa wafuasi wa Trump, Hillary kashashinda uchaguzi

Ukiangalia vizuri hiyo Electoral college map hapo juu Trump has no path to the whitehouse ,the only thing nasubiri on Tuesday is Trump concession speech
 
trump ashinde tu ili aje asitishe Tabia y mmarekani kuvamia vinchi kama Libya na kuzpora rasilimali na kuwaacha wananchi Kwenye dimbwi la machafuko
 
Marekani ni ileile na SERA ni zilezile.. Mataifa ya MASHARIKI YA KATI, wataisoma namba...
 
Ukiangalia vizuri hiyo Electoral college map hapo juu Trump has no path to the whitehouse ,the only thing nasubiri on Tuesday is Trump concession speech
Exactly watu wanafikiri kushinda urais wa marekani ni hivi hivi tu bila kushinda electoral college votes hakuna mahali hataenda na mpaka sasa anaitaji kama kura 90 hivi kwenye hiyo poll ndani ya siku 4
 
Watu wanauchambua uchaguzi na siasa za Marekani vizuri sana, kuliko hata mambo ya hapa kwetu. Hata hivyo ni kama soka, wachambuzi na magwiji wengi lakini kiwango chetu duni sana.

Sasa mkuu kama ameshashinda kwanini wanafanya uchaguzi?
Hillary ni mrithi wa Obama. mgombea alishashinda kabla ya kumpigia kura,
walihitaji kura yako ili kuhalalisha uteuzi
wao. mashirika makubwa na taasis zake duniani ndizo zinazo amua nani awe kiongozi
wanchi gani. Mfano mashirika kama Nike,adidad, Gap, monsanto, Calvin Klein, General motors, Ford, IMF, world Bank, McDonald, CIA, CFR,
 
Well said
 
Hili jukwaa la kimataifa siasa za kimataifa hujadiliwa hapa
RealClearPolitics - Election 2016 - General Election: Trump vs. Clinton

View attachment 427653

Kuna watu wanafikiri kashifa ya email itabadili matokeo .

Ukweli ni kwamba hata kura ambazo zimeshapigwa zaidi ya milioni 20.

Inasemekana Trump ameachwa mbali sana kwa zaidi ya kura milioni tano..
 
Hili jukwaa la kimataifa siasa za kimataifa hujadiliwa hapa

Sijasema wasizungumzie uchaguzi mkuu, Infact hili ndio jukwaa mahsusi kwa hizo habari, tatizo langu ni pale watu wanapoleta ushabiki wa siasa kama kwenye Mpira, kuweka fact pembeni, mpenzi ya mgombea au chama kuleta upofu wa kuona uhalisia.

Sasa mtu anasema mgombea flani tayari ameshashinda, ndio nikasema kama ni hivyo, haina haja ya uchaguzi. Unatakiwa unapotoa uchambuzi, elezea sababu zinazokufanya utoe huo mtazamo.
 
Hillary ni mrithi wa Obama. mgombea alishashinda kabla ya kumpigia kura,
walihitaji kura yako ili kuhalalisha uteuzi
wao. mashirika makubwa na taasis zake duniani ndizo zinazo amua nani awe kiongozi
wanchi gani. Mfano mashirika kama Nike,adidad, Gap, monsanto, Calvin Klein, General motors, Ford, IMF, world Bank, McDonald, CIA, CFR,

Je, hii inamaanisha Trump alikua sahihi kuonyesha shaka juu ya mfumo na utaratibu wa uchaguzi?
 
Mnabishana nini?uchaguzi si ni jumanne,wala si mbali ni kesho kutwa,atajulikana mshindi ni nani!..
Je ni one man brand,a multi billionaire au ni mama clinton!...
 
Hahahaaa wamarekani wataongozwa na mwanamke, teheteheteh pole yao
 
Kwa ufupi ni lazima Hillary Clinton awe Rais wa marekani hata trump akishinda wanaojua wamesha faham ni kwa sababu gani.
 
trump ashinde tu ili aje asitishe Tabia y mmarekani kuvamia vinchi kama Libya na kuzpora rasilimali na kuwaacha wananchi Kwenye dimbwi la machafuko
hahaha seems you don't know Republicans, it will get worse Trump akishinda believe me
 
Jamani msilete ushabiki wa.simba na yanga humu ndani oooh haya
Watu wa.iran syria Lebanon Iraq kwa ujumla wenyewe iQ kubwa wanakesha wakiomba kuwa huyoo bi chau hillary clinton Queen of war's corruption devil's or Diablo asiwe raisi
Nawashangaaa ndugu zangu nyie mapema yote hii.mmesha sahau yaliyomkuta kipenza chetu mfadhali wetu wa Africans jamani eeh?
Ebu tuwe tunasomaga hata history bac japo kidogo wakuu
Aibu sana kwetu Yaaani
Open up you're eyes kijana ebooooo
Hillary Clinton ndoo.aliye kuwa frontline kummaliza kaddafi
Xaxa Leo hiweje sisi tum cherish jamani???
 
Hongera yake atakayeshinda ila mjue kila mmoja lazima aje kwetu kupiga dili. Kwa takwimu sahihi Trump ana uwezo wa kufikisha 278 na kumuacha Clinton. Hapo ni kama atachukua Nevada na Pennsylvania. Ushindi wake uko hapo.
 
Back
Top Bottom