Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
sawa lakini kama walikuwa wana nia ya dhati ya kutaka bunge liwe live, mbowe na hao wwnzake kuanzia novemba mpaka leo walikuwa wanafanya nini? maana TBC kusitisha matangazo ni issue ya siku nyingi
kweli upinzani unategemea TBC wataanza tu ghafla? bila kujali ratiba na wadhamini wa vipindi vya sas?
watanzania kuweni macho
Mkuu azamtv na starbunge hawahitaji wazamini
Suala bunge kuzuia waandishi hata kumiliki vinasa sauti